Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
[emoji15] [emoji15] [emoji15]daaah..nilikuwa na mshika ji wangu NDANDA sec...ugomvi kwake kama kula tukienda disco ukimkanyaga bahati mbaya konde....madem sasa?...kila wiki anatibu gono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]daaah..nilikuwa na mshika ji wangu NDANDA sec...ugomvi kwake kama kula tukienda disco ukimkanyaga bahati mbaya konde....madem sasa?...kila wiki anatibu gono
[emoji106]Haha hujaona wahuni. Man...
Kuna mtu anaitwa Kaini. Jamaa alimuua ndugu yake then MUNGU anamuuliza. Anamjibu kwani mimi mlinzi wake?
Mwanzo 4
8 Kaini akamwambia Habili nduguye, [Twende uwandani]Ikawa walipokuwapo uwandani,Kaini akamwinukia Habili nduguye,akamwua.
9 Bwana akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] sadKunamshikaji seminary alikua anachanganya sukarii na amira na maji kila j3 kwenye dumu la Lita tano,ikifika ijumaa nglloma unajua ishakua pombe,jamaa kila weekend alikua anawaka balaa!!baadae alianza kuchanganya spirit..kwa bahati mbaya alikuja kufa kwa sababu ya mixhanganyiko yake...utumbo ulikatika...rip Walter fadhili...!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hawakumroga kweli?!Kuna kijana alikua anaitwa saa mbovu pale mwembetogwa secondary enzi hizo tukiwa advance alitembeza bakora kwa wanakijiji baada ya kuzidiwa na ulanzi tukiwa kalenga kufanya project
Kila Jambo lina mwisho wake aisee. Alishindwa kufanya ubabe Kwa polisiKuna class mate wangu o level alikuwa mtata sana sijapata ona. Hakuna mwanafunzi au mwalimu aliyekuwa na ubavu wa kumchapa au kumpa adhabu maana mziki wake lazima uhame au uache shule.
Kwa bahati mbaya sana hakuwa na akili kichwani .siku za mitihani alikuwa anatafuta mwanafunzi kichwa alipokaa na kukaa jirani naye na kumpa maelekezo kuwa akiwa anaandika asifunike wala kuficha kazi yake.
Jukumu lake lilikuwa kucopy na kupaste kuanzia swali la kwanza hadi la mwisho huku akiona haoni vizuri anasimama na kuchungulia huku mwalimu anayesimamia mtihani akiwa hana la kumfanya maana kumsema tu kuwa unafanya nini hicho baada ya mtihani unatakiwa kujifungia ndani na hakuna mwalimu alikuwa na ubavu kumpa suspension.
Matokeo yake alikuwa anapata alama sawa na mwanafunzi aliyekuwa anacopy kwake na mwalimu unayesahihisha hana ubavu kumpunja marks tofauti na marks za mwanafunzi anayekopy kwake somo husika.
Aliendelea hivyo hadi form four. Kwa bahati mbaya form four tulisimamiwa na polisi hivyo hakupata nafasi hiyo tena na matokeo yake ya mtihani alipata zero.
Kunamshikaji seminary alikua anachanganya sukarii na amira na maji kila j3 kwenye dumu la Lita tano,ikifika ijumaa nglloma unajua ishakua pombe,jamaa kila weekend alikua anawaka balaa!!baadae alianza kuchanganya spirit..kwa bahati mbaya alikuja kufa kwa sababu ya mixhanganyiko yake...utumbo ulikatika...rip Walter fadhili...!!
Katoke..ila alifia karagwe huko..Walter? Seminary Ipi mkuu
FormsixJf saivi kuna watoto wametoroka fb wamekuja humu
rafiki yangu shoga angu mmoja hivi alikuwa Bonge moja la doja shuleni. Haudhurii vipindi darasa,waalimu wakienda bwenini kukagua anapanda kwenye kenchi,siku moja akateleza akakanyaga silling board aliporomoka nalo akafikia kutua mbele ya mwalimu..
Rafiki yangu mwingine alikuwa bingwa wa kutembea na waalimu wa kiume wanaokuja either filed au waalimu wanaohamia pale. Since we tulikuwa tunasoma in girls school, and she is hot tottie aisee alikuwa anagegedwa na haoni aibu anaadhithia ticha Fulani,kibamia yule hana lolote anajitutumua assemble tu pale,simtaki tena Hata kumsikia. Au utasikia Yaani vile alivyo mpole ni analo la kumridhisha mwanamke yeyeto,afadhali awe mpole anitie peke yangu. Ashawashi sababisha waalimu wa field walipigana staff room kwa sababu yake halafu akawakana kama hawajui,akasema wanamtongoza tena kwa nguvu. Mkuu wa shule akwatimua wale majamaa walikuwa wanatoka chuo cha mkwawa. Tukawa tunamuita roza mistika