Elections 2010 Tuelezwe juu ya afya ya Rais Kikwete!

sheikh yahaya amesema atakufa kabla ya uchaguzi
 
Kikwete anasepa hapa JF. Kuanzia leo asubuhi basi usiku saa 4, kura 275 zilipigwa kati ya hizo yeye akapata hapo 253, ikamfanya akavuka 20% kumwelekea Slaa. Slaa amepata hapo kura 22 tu na hivyo kumshusha kutoka 71.52% ya jana kuwa 69.49%. Ni afya yake imeboreka nini? Pengine anaeleweka sasa ? Mimi nakodolea macho yangu hapo!
 
Nadhani anachoumwa Kikwete si kifafa. Nasikia alipoanguka jangwani miongoni mwa matibabu aliyopewa ni pamoja na kuongezewa glucose.
Sidhani glucose inahusiana na kifafa.
 
Jamaa wanacheza na matokeo mkuu! ngoja niwaanzishie bango.
 
Watz wana haki ya kuambiwa ukweli kuhusu afya ya mgombea wao 'kipenzi'
 
Tusidanganyane hapa , Kikwete ni mgonjwa , na ugonjwa wake ni concern ya kila mtanzania kwani anatibiwa kwa kodi zetu, kwa hiyo lazima tujadili, kwani kama ikibidi kuahirisha uchaguzi ni hasara kwetu sote, nyie wengine msijifanye mna huruma naye saana kumbe mna huruma ya matumbo yenu.Huyu mtu angekubali tu yaishe,mbona kamaliza mikaka mitano, hiyo inatosha kumweka kwenye historia kwani pamoja na uozo wa utawala wake bado kuna ukweli ambao hauwezi kufutwa kuwa Kikwete alikuwa rais wa Tanzania kuanzia 20050mpaka 2010, inamtosha sana.USHAURI KWA KIKWETE: Asimamie uchaguzi huu kwa haki na uhuru, kwa maana kuwa aondoke madarakani kwa njia ya kura , atajijengea heshima kubwa kama rais mstaafu licha ya madudu aliyofanya akiwa ikulu, afterall watz ni wepesi wa kusamehe na kusahau, JK take it or leave it, the choice is yours.
 
Tunadai kujua hali ya afya ya mgombea wetu. Nasikia kwa hofu ya kuanguka-anguka ndiyo wapambe wake wamemzuia kushiriki katika mdahalo.
 
Wee mwafrika unashida gani? Jk si mgembea uraisi? si umchague unyeona ni bukheri wa afya? wala usipate shida.
 
Wee mwafrika unashida gani? Jk si mgembea uraisi? si umchague unyeona ni bukheri wa afya? wala usipate shida.
Mwafrika anafanya jambo la mbolea sana anawakumbusha watu kama nyie likitokea la kutoea na uchaguzi kurudiwa kabla ya kipindi kumalizika msije mkasema hamkujua. Usifikiri hili jambo ni la uchaguzi tu hata baada ya uchaguzi litakuwepo, vizazi kwa vizazi vitalikuta na kujifuza kutong'ang'ania madaraka ukiwa na afya mgogoro.
 
Mwafrika anafanya jambo la mbolea sana anawakumbusha watu kama nyie likitokea la kutoea na uchaguzi kurudiwa kabla ya kipindi kumalizika msije mkasema hamkujua.

Nadhani Kikwete anatumika tu, angekuwa mwenyewe anajali afya yake hakika angetumia muda huu kutogombea na kushughulikia afya yake, nadhani ugonjwa umehamia kwenye akili sasa maana kauli zake tata sasa!
 
Wee mwafrika unashida gani? Jk si mgembea uraisi? si umchague unyeona ni bukheri wa afya? wala usipate shida.

Najua hata shida, bahati mbaya ikawa yeye ndiye amechaguliwa akazidiwa kama yule raisi na Nigeria, huoni kama ni hatari sana kwa taifa hili masikini, atumie busara arudi zake Msoga huko Chalinze akalime nanasi na kufuga!:llama:Uraisi unataka mtu mzima asiye na tatizo la akili
 
Je, Afya ya mgombea ikiwa mbaya haiwezi kutumika kupinga mgombea huyo kisheria ikiwa malengo ni kushika madaraka hayo kwa miaka 5. Tukumbuke yaliwakuta Nigeria baada ya rais wao kwenda Arabuni kutibiwa....
 
Hivi ni yeye kweli anaendelea na kampeni au some spirit?
 

wasted :llama:
 
Jamani nani mwenye updates kuhusu afya ya huyu mjamaa? Naona kimya kimezidi!
 
Hebu tujikumbushe yaliyojiri siku hiyo


"Aisee" baada ya hapo network ikakata,
Kwanini tuhangaike na mtandao unao kata network ili hali mitandao bomba isiyo kata ipo?
Tafakari na uchukue hatua hapo tarhe 31 October 2010.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…