Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ina maana wameidiliti kabisa?? au na wamepeleka details big brother??Kilichofanyika ni zaidi ya kufungia thread
Jamaa wanacheza na matokeo mkuu! ngoja niwaanzishie bango.Kikwete anasepa hapa JF. Kuanzia leo asubuhi basi usiku saa 4, kura 275 zilipigwa kati ya hizo yeye akapata hapo 253, ikamfanya akavuka 20% kumwelekea Slaa. Slaa amepata hapo kura 22 tu na hivyo kumshusha kutoka 71.52% ya jana kuwa 69.49%. Ni afya yake imeboreka nini? Pengine anaeleweka sasa ? Mimi nakodolea macho yangu hapo!
ana ngomajamani kikwete anakifafa! Na hili liko wazi mbona dr wa raisi haongelei hili ama mpaka msomali aruhusu?
Mwafrika anafanya jambo la mbolea sana anawakumbusha watu kama nyie likitokea la kutoea na uchaguzi kurudiwa kabla ya kipindi kumalizika msije mkasema hamkujua. Usifikiri hili jambo ni la uchaguzi tu hata baada ya uchaguzi litakuwepo, vizazi kwa vizazi vitalikuta na kujifuza kutong'ang'ania madaraka ukiwa na afya mgogoro.Wee mwafrika unashida gani? Jk si mgembea uraisi? si umchague unyeona ni bukheri wa afya? wala usipate shida.
Mwafrika anafanya jambo la mbolea sana anawakumbusha watu kama nyie likitokea la kutoea na uchaguzi kurudiwa kabla ya kipindi kumalizika msije mkasema hamkujua.
Wee mwafrika unashida gani? Jk si mgembea uraisi? si umchague unyeona ni bukheri wa afya? wala usipate shida.
Jamani afya muhimu hatutaki kurudia uchaguzi!
Mwafrika anafanya jambo la mbolea sana anawakumbusha watu kama nyie likitokea la kutoea na uchaguzi kurudiwa kabla ya kipindi kumalizika msije mkasema hamkujua. Usifikiri hili jambo ni la uchaguzi tu hata baada ya uchaguzi litakuwepo, vizazi kwa vizazi vitalikuta na kujifuza kutong'ang'ania madaraka ukiwa na afya mgogoro.
Hebu tujikumbushe yaliyojiri siku hiyo