Tuelimishane: Denda na Maambukizi ya Virus Vya UKIMWI

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Wanaboard.Kuna baadhi yetu huwa tunapenda ikiwa ni mojawapo ya maandalizi ya kusex,kunyonyana ndimi na midomo.Sasa kumekuwa na msisitizo sana wa ngono salama ni kuvaa kondomu.Je mtindo huu wa kunyonyana ndimi na midono kuna uwezekano wa maambukizi ya UKIMWI au la?Wenye uzoefu na utaalamu watujuze tafadhali.Naomba kuwasilisha
 
Wapo wakumwaga ila hawaambukizi! Kula denda
 

Pointi kuu:
mwingiliano wa damu mojawapo yenye virusi vya ukimwi ndio kuambukizwa......vp mdomoni hakuna michubuko?
 
Tungekuwa wengi marehemu saa hizi!! Jilie vyako baba/mama ila usivuke mipaka!
 
jaman naomben misaidie mtu anawezwa kuambukizwa ukimwi kwa njia ya mate au denda?
 
Hivi wewe!!!upungufu wa kinga mwilini unaambukizwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…