Tuelimishane kuhusu Mbunge, kuvunjwa kwa Bunge na Baraza la Mawaziri

Tuelimishane kuhusu Mbunge, kuvunjwa kwa Bunge na Baraza la Mawaziri

Na kama utafuatilia kwa umakini wengi wametumia kofia ya uwaziri kuusaka ubunge na wamefanikiwa !!! Na wananchi wengi ni wajinga wanakwambia wanataka mbunge ambaye ni waziri!!!!/ hapo panashida kubwa ninafikiri bunge lilivyo vunjwa kila kitu kilitakiwa kuwa disolved na makattibu wakuu wachukue nafasi za mawaziri!!!!
 
For the time being, makatibu wakuu ndio walitakiwa wawe top until Kuna baraza jipya la mawaziri. ila hakuna ubaya sana maana Watendaji wakuu wa wizara ni Makatibu wakuu ambao wengi wao ni proffesionals wa taaluma husika na ndio waidhinishaji wakuu
Hakuna ubaya kukanyaga katiba na sheria za nchi
 
Hakuna ubaya kukanyaga katiba na sheria za nchi

kwani unajua katiba inasemaje???

Kwenye Sheria kuna msemo unasema “ Kitu ambacho hakijakatazwa na sheria, kimeruhusiwa”

Katiba ipo silence na hii situation
 
Je kutenguliwa kwa waziri mkuu kunaweza pelekea kuvunjwa kwa baraza la amawaziri?
 
Back
Top Bottom