Na kama utafuatilia kwa umakini wengi wametumia kofia ya uwaziri kuusaka ubunge na wamefanikiwa !!! Na wananchi wengi ni wajinga wanakwambia wanataka mbunge ambaye ni waziri!!!!/ hapo panashida kubwa ninafikiri bunge lilivyo vunjwa kila kitu kilitakiwa kuwa disolved na makattibu wakuu wachukue nafasi za mawaziri!!!!
For the time being, makatibu wakuu ndio walitakiwa wawe top until Kuna baraza jipya la mawaziri. ila hakuna ubaya sana maana Watendaji wakuu wa wizara ni Makatibu wakuu ambao wengi wao ni proffesionals wa taaluma husika na ndio waidhinishaji wakuu