Tuelimishane: Uzalendo na Ucha Mungu wa Rais Magufuli ni upi?

achana na hiyo hotuba, fanya kazi huku ukijilinda na kuwalinda wengine dhidi ya corona

Mkuu ukweli mchungu, RC Mghwira amekuwa wazi kwenye hilo labda kuliko mwingine yeyote: "kwa hakika sifahamu ni wapi sikuyazingatia masharti ya kujikinga na huu ugonjwa". Mwisho wa kumnukuu.

Ugonjwa huu ni mgeni kiasi kujimwambafai kuwa uwezo wa kujilinda na kuwalinda wengine within the pandemic kuwa uko mikononi mwa individuals, inaweza kuwa ni kujilisha upepo bure.

Hii haiwezi kuwa vita ya mtu mmoja mmoja bila ya jemedari magoli wa vita. Hapo ndipo umuhimu wa hotuba zake unaokuja.
 
Nilishangaa sana anapowatuhumu vibaya viongozi wa dini kwa kuzuia mikusanyiko makanisani!Haoni kuwa viongozi hao wamefanya jambo la maana?Sijamwelewa kabisa JPM ana nia gani na watanzania!
Naamini anawatoa WaTz kafara, si mtu mwema, na anaamini ushetani shetani hivi. Huwezi kwa dhati ya moyo wako kutaka WaTz wenzako waishi kama shetani kama sio muumini wa shetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunza maneno yangu leo...mkakati uliopo ni kua na wangonjwa wengi kadri iwezekanavyo.ili hd ikifika September iwe much worse!!ili October tuahirishe uchaguz.heb jiulize sheikh wa dsm kuufunga msikit wa mtoro,then from no where aje aufungue tena.this is one man show!ila jakaya ulitukosea sana,hatutakusamehe wallah!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu hata katika hali ya sasa kwa hakika siyo busara hata kufikiria kufanya mkusanyiko wowote achilia mbali maseke seke ya uchaguzi mkuu.

Magufuli angeiona busara hii akatambua kuwa waungwana wote (save misukule mimgi iliyo mwagws humu jf) wanahitajika kuona ugonjwa huu umeondoshwa kwanza, maisha yalindwe kabla ya mambo mengine yoyote. Hii ni hata ikibidi yeye aendelee kutawala hadi ugonjwa huu utakapopatiwa suluhu.
 
 
Shetani ni shetani tu yule mzee ni shetani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Auz
Kwanza mtu huyo anadhani ni yeye tu mwenye uelewa mpana kuliko wote kama walivyo tu wasomi.

Pili kutokana na kujiona kuwa ana uelewa mpana ancho fikiria yeye ndicho chenye kutoa ufumbuzi kwa kila tatizo. Ndiyo maana hawezi pokea mawazo mageni nje ya yale anayo yafikri yeye, ndiyo maana yuko radhi hata kuwaua wanao mpinga.

Tatu kutokana na mawazo hayo hapo juu, anajiona amejitengenezea maadui wengi. Kwa yale anayofanya kwa maamuzi ya busara na kwa kuwa TZ ndiyo Nchi ya aina yake yenye mali nyingi mno zinazo hitajiwa na mabeberu. Kwa jinsi hiyo mwenye mawazo tofauti ama amenunuliwa, ama anajiuza kwa mabeberu kwa hiyo hawezi pokea wazo ama ushauri wowote.

Kitokana na sababu ya tatu inabidi amkimbilie MUNGU zaidi maaana hakuna mwanadam anaweza kumponya na yote hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu kwa udadavuzi huu huyu bwana itakuwa psychotherapy inamhusu.

Haiwezekani kuwa anayemwunga mkono tu ndiye mzalendo. Ikiwapo tofauti ya mawazo - amenunuliwa na mabeberu.

Kiongozi wa dini akitofautiana naye - anatumiwa na shetani. Kwani yeye ni malaika, au ni Mungu kuwa na maono hayo?

"Pasipo na kuji submit kwenye tiba mapema inaweza mletea mwathirika matatizo zaidi". Wanasema wataalamu wa tiba ya akili.

Huwezi panga kuuwa wenzio yet unaiona wewe uko karibu na Mungu zaidi!
 
Labda ni mcha mungu (herufi ndogo) lakini Magufuli siyo mcha Mungu
 
Kwa binadamu wengi ukiwa unamtaja taja Mungu mara nyingi na ukiwa karibu na padri,wachungaji au masheikh tayari wewe ni mcha Mungu!
 
Kazi kweli kweli ...

Huyu bwana alisema Daniel alinusurika kwenye fumbo la samaki.

Hao watakuwa wachumia tumbo. Labda na Mbatia anasali hapo.
Ukiona anaejinasibu kwamba ni mcha Mungu sana na mkristo na akaweza kuchapia kisa hicho maarufu sana kwenye biblia ujue huyo anakwenda kanisani kujionyesha tu kwa wengine kwamba nae uwa anasali lakini akiwa pale kanisani muda mwingi mawazo yake yanakuwa kwenye kukamilisha maovu yake. Kwamba Daniel alinusurika kwenye tumbo la samaki?!
Ndiyo maana hata yale maombi ya siku tatu + siku moja yamedunda.
 
Kwa binadamu wengi ukiwa unamtaja taja Mungu mara nyingi na ukiwa karibu na padri,wachungaji au masheikh tayari wewe ni mcha Mungu!

Kazi kweli kweli. Na kwa pande za huko ambako kuuwana ni jadi, majina ya umungu mungu u yesu yesu mwingi:

Twagiramungu, Twagirayesu nk

Unafiki mtupu!
 

Hilo kabisa haliwezi kuwa tofauti na la hao. Kuwa Daniel alilindwa na Mungu kwenye tumbo la samaki? Si bora angetambua kulindwa kwa Lissu na risasi zote zile mikononi mwa watu wasiojulikana?

Ama kweli usoni kama watu na usoni kama waumini kumbe mauawaji makubwa!
 
Kwa taarifa yako, hayo mavirusi yametokea kuzimu kwa shetani. Ni roho chafu zimetumwa duniani kuiathiri dunia. Sasa kazi ya Kanisa duniani ni kuziharibu kazi za shetani. Kanisa likimuogopa shetani inakuwa ni ANGUKO KUBWA sana rohoni. Kanisa la kweli haliwezi kumuogopa shetani kwa lolote, hayo makanisa "yaliyotetemeka" hayako rohoni na sio makanisa kwa maana ya Kanisa bali ni makusanyiko tu flani ya kukusanya pesa.

Serikali au Taifa lolote linalojua na kutambua mamlaka ya Mungu linatambua kuwa Kanisa ndilo Jeshi la kupambana na adui katika ulimwengu wa roho. Ni kama wanavyolitegemea Jeshi la Ulinzi wakati wa vita katika ulimwengu huu wa nyama na damu. Unaonaje imetokea vita na nchi jirani halafu JWTZ "wakalala mbele"

JESUS IS LORD!
Nilishangaa sana anapowatuhumu vibaya viongozi wa dini kwa kuzuia mikusanyiko makanisani!Haoni kuwa viongozi hao wamefanya jambo la maana?Sijamwelewa kabisa JPM ana nia gani na watanzania!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mada na comments zilizomo unatakiwa uwe makini sana kuweka komenti yako, i mean kuna hidden agenda humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…