PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,102
- 1,919
Nina hofu na maisha ya upangaji,familia nyingi zinaishi kwenye nyumba za upangaji,wengine wamezeeka wakiwa kwenye nyumba za kupanga,wengine ndo wameanza kuishi kwenye nyumba za kupanga,siyo tatizo,ila napata wasiwasi,kupanga zaidi ya miaka 20, ndo kusema hujajipanga tu? au tunajisahau?,,