Tuendelee hivihivi au tujitafakari?

Tuendelee hivihivi au tujitafakari?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Nina hofu na maisha ya upangaji,familia nyingi zinaishi kwenye nyumba za upangaji,wengine wamezeeka wakiwa kwenye nyumba za kupanga,wengine ndo wameanza kuishi kwenye nyumba za kupanga,siyo tatizo,ila napata wasiwasi,kupanga zaidi ya miaka 20, ndo kusema hujajipanga tu? au tunajisahau?,,
 
Mkuu,
Hakuna anaye furahia maisha ya kupanga.... Hakuna anayependa on a familia yake ikinyanyaswa kwenye nyumba ya kupanga...
Tatizo kubwa ni kipato ila iko siku mpangaji naye atamiliki jumba lake kama nilivyo Mimi au wewe...Kumbuka wamiliki wa majumba wa Leo, Jana walikuwa wapangaji !!!
 
Malengo tu ndo kitu kikubwa kama ukiridhika na kupanga uukashindwa kuwa na Malengo ya kupanga basi utazeekea humo humo
 
Back
Top Bottom