Tuendelee kuenzi na kukumbuka falsafa za shujaa wetu Hayati Magufuli

Tuendelee kuenzi na kukumbuka falsafa za shujaa wetu Hayati Magufuli

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
2,754
Reaction score
4,975
images - 2023-03-17T114954.219.jpeg

Nipende kuchukua fursa hii kuwatakia nyote heri ya siku ya Magufuli. Tuendelee kuwa wazalendo, Tuchape kazi kwa maendeleo na manufaa ya taifa letu huku daima tukimtanguliza Mungu.

Tuendelee kuenzi na kukumbuka falsafa za shujaa wetu huku daima tukiendelea kupinga Ufisadi, Rushwa, Uzembe makazini, Wizi Ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali zetu.

Kujitoa kwa moyo wote katika kutetea makundi yote ya watu, Na kuondoa tabaka kati ya matajiri na masikini, kusogeza serikali katika kuhudumia wananchi hususan wa daraja la chini.Daima kuwa wakweli na wenye nia thabiti isiyotetereka katika kulipigania taifa letu.

Kwa mara nyingine niwatakie heri ya siku ya Magufuli.
 
Shairi maalum la kumbukumbu ya kuzaliwa King George V lililoandikwa na raia wa koloni la Uingereza la Tanganyika Afrika Mashariki

Mbaraka bin Shomari (1897)

9) Wakatabahu khadimu, Mimi kijitu fakiri.(9) This was written by a servant,
I’m an unimportant, poor person
Jina langu mwalimu, Mbaraka bin Shomari.My name is Mwalimu, Mbaraka bin Shomari.
Nimesifu mwazzimu, Mfalme akhiyariI’ve praised the Great, the beloved Kaiser —
Hapana tena hapana, wewe ndio
Kaizari!
There is nobody else. You are the Kaiser!
11Mbaraka bin Shomari
 
Wa-Shairi tusiwe nyuma tufanye hima kuja na tungo kwa ajili ya siku hii ya kumbukumbu.

Tujikumbushe jinsi hali ilivyokuwa enzi za Tanganyika iliyokuwa koloni chini ya utawala wa Mwingereza

Toka maktaba :

Sisi raia inabidi tukae kutunga shairi , wimbo au tenzi kukumbuka siku hii adhimu ya kuzaliwa mtawala wetu Maulana King George V.

Heshima ya King George V ( “Respect for King George V”)16 Kaniki Nguo ya Kale, Dar es Salaam Mambo Leo (c.1923-36)

(1) Leo siku ya tatu katika mwezi wa Juni(1) Today is the third day in the month of June
Kazaliwa Bwana wetu King
George Sultani
When was born our lord and sultan King George
Jamii ya wote shime andameni
Mkongeni
Everyone hurry up and proceed to Mkongeni
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(2) King George ni mwana wa King
Edward
(2) King George is the son of King
Edward
Amezaliwa Ulaya nchi ya upande wa kaskaziHe was born in Europe in a country to the north
Kama tujuavyo yeye ni pekee asadi17As we know he is a special lion
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(3) Watakutana mabwana wakubwa na wadogo(3) The noble and the lowly will participate
Hapazuiwi kijana akuambiaye ni mrongoNo youth will not be denied; whoever tells you otherwise is a liar
Wala fujo hapatakuwa ya mafimbo na magongoNor will there be disturbances with sticks or clubs
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(4) Siku hiyo ni siku ya furija na anasa18(4) This day is a day of celebration and entertainment
Atakayejaliwa kwenda furaha hatakosaWhoever attends will certainly be happy
Kwani ni siku ya idi bashasha yatupasaFor it is a holiday and we are expected to be joyful
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(5) Atahudhuria Gavana bwana wa
Tanganyika
(5) His Lord the Governor of
Tanganyika will attend
Siku hiyo mwenye nishani itampasa kupachikaOn this day whoever has medals should wear them
Asiyekuwa na mwana hata jiwe ataeleka19The one without children should carry a stone
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(6) Akina Bwana Askari hupanda wao farasi(6) The soldiers will mount their horses
Mwendo wao taratibu kama mwendo wa papasiThey will pass slowly by, at the speed of a tick
Kuwaonyesha raia mambo yasiyo kiasiTo show the citizens extraordinary things
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(7) Tazameni ibura ya Mfalme kuwa
Ulaya
(7) Look at this extraordinary celebration for a king who is in
Europe
Huko mambo mbayana kama amehudhuria20There [at Mkongomeni] things will be celebrated as though he were attending
Jamaa ukaidi wani mbona mtaangamia21What’s the point of being stubborn lest you be destroyed?22
Tukatazame heshima ya maulana King George.So we see respect paid to His
Highness King George
(8) Kuna wingi wa Polisi wazuiao hatari(8) There are many police to prevent danger
Wapitisha kwa kiasi zote pia motakariThey only allow selected motorcars to pass
Hiyo ndiyo dunia wala nyingine haiwiThat is indeed how the world is.
It cannot be otherwise
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(9) Mfalme King George wote mnamjua(9) Sovereign King George all of you know him
Kwa alama za mataji mara utamjuaBy the symbol of his crowns you’ll immediately recognize him
Na utakapo ya zaidi soma utajuaAnd if you want to know more, read about him
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(10) King George ana sifa kupenda wake raia(10) King George is known for liking his subjects
Walio bora na hafifu wote twamfurahiaThe upper and lower classes we all are happy for him
Tumwombee Rabuka huruma amzidishieLet us pray to God will show more mercy to him
Tukatazame heshima ya maulana
King George.
So we see respect paid to His
Highness King George
(11) Sifa hapa zimekoma mwaka huu najaribu(11) The praises end here, this year I am trying
Labda nitapata yangu huwa bahati nasibuPerhaps I will have my luck
Sikukaa nasimama nangoja yangu matulubu23I am not sitting, I stand, waiting to get what I expect
Tukatazame heshima ya maulana King George.So we see respect paid to His
Highness King George
15The following example of another birthday poem for King George composed by a poet with the pen name “Komagi bin Sansa
 
Tutamkumbuka Kwa UZALENDO wake na Maono yake kuitazama Nchi hii TAJIRI yenye uwezo wa kusaidia wengine.

Tutahakikisha tunapambana na RUSHWA inayozuia kuifikia Tanzania ya MAGUFULI.

Asante Mungu Kwa zawadi ya Magu.

MUNGU Tunakuomba utuletee kiongozi mkali zaidi ya Magu hapo 2025 ikiwa uchaguzi mkuu utafanyika.

Amen
 
View attachment 2555057

Nipende kuchukua fursa hii kuwatakia nyote heri ya siku ya Magufuli.Tuendelee kuwa wazalendo , Tuchape kazi kwa maendeleo na manufaa ya taifa letu huku daima tukimtanguliza Mungu.Tuendelee kuenzi na kukumbuka falsafa za shujaa wetu huku daima tukiendelea kupinga Ufisadi, Rushwa, Uzembe makazini, Wizi Ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali zetu.Kujitoa kwa moyo wote katika kutetea makundi yote ya watu, Na kuondoa tabaka kati ya matajiri na masikini, kusogeza serikali katika kuhudumia wananchi hususan wa daraja la chini.Daima kuwa wakweli na wenye nia thabiti isiyotetereka katika kulipigania taifa letu.

Kwa mara nyingine niwatakie heri ya siku ya Magufuli.
Leo ni siku ya usalama barabarani na usipende kutuchanganya kwa ratiba nyingine zisizotambulika na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Tutamkumbuka Kwa UZALENDO wake na Maono yake kuitazama Nchi hii TAJIRI yenye uwezo wa kusaidia wengine.

Tutahakikisha tunapambana na RUSHWA inayozuia kuifikia Tanzania ya MAGUFULI.

Asante Mungu Kwa zawadi ya Magu.

MUNGU Tunakuomba utuletee kiongozi mkali zaidi ya Magu hapo 2025 ikiwa uchaguzi mkuu utafanyika.

Amen
Unaposema JPM ni zawadi una maanisha nini? Uonevu, kupotea kwa watu, kuminywa kwa demokrasia yetu, kuumizwa kwa wanasiasa na wengine kuuwawa, mzigo wa madeni na maisha magumu tulioachiwa au nini hasa?
 
Unaposema JPM ni zawadi una maanisha nini? Uonevu, kupotea kwa watu, kuminywa kwa demokrasia yetu, kuumizwa kwa wanasiasa na wengine kuuwawa, mzigo wa madeni na maisha magumu tulioachiwa au nini hasa?
Unamaanisha baada ya wewe kuuwawa umefanikiwa kuja kucoment?

Magu hauuwa mtu, kiulize KITI.
 
View attachment 2555057

Nipende kuchukua fursa hii kuwatakia nyote heri ya siku ya Magufuli.Tuendelee kuwa wazalendo , Tuchape kazi kwa maendeleo na manufaa ya taifa letu huku daima tukimtanguliza Mungu.Tuendelee kuenzi na kukumbuka falsafa za shujaa wetu huku daima tukiendelea kupinga Ufisadi, Rushwa, Uzembe makazini, Wizi Ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali zetu.Kujitoa kwa moyo wote katika kutetea makundi yote ya watu, Na kuondoa tabaka kati ya matajiri na masikini, kusogeza serikali katika kuhudumia wananchi hususan wa daraja la chini.Daima kuwa wakweli na wenye nia thabiti isiyotetereka katika kulipigania taifa letu.

Kwa mara nyingine niwatakie heri ya siku ya Magufuli.
Dunia nzima inaadhimisha siku hii!
 
Magu hakuwa mtu. kiulize KITI..Hebu fafanua jambo hili.
Magu hakuua mtu. Kiulize KITI.

Wewe ni mmoja ya waliouawa?

Tunamkumbuka Shujaa, MZALENDO, mwanamapinduzi, mwenye uthubutu, mpenda HAKI Kwa maskini.

Bado maumivu hayajaisha Hadi pale MAONO yake yatapotimia.
 
Back
Top Bottom