Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
R.I.P shujaa Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alionywa asiidharau Corona akabishaMwamba ,waliamua kukatisha maisha yake,atabaki mioyoni mwetu daima kwa uwajibikaji wake makini
Sana tuAsante Mungu kutuondolea mtesi wetu alazwe ulipomchagulia weweView attachment 2555085
Kwanini hampendi kusikia au kuona upande mwingine wa Magufuli? Hamuoni kwamba kuna mengi mabaya pia alitenda?Magu hakuua mtu. Kiulize KITI.
Wewe ni mmoja ya waliouawa?
Tunamkumbuka Shujaa, MZALENDO, mwanamapinduzi, mwenye uthubutu, mpenda HAKI Kwa maskini.
Bado maumivu hayajaisha Hadi pale MAONO yake yatapotimia.
Tungeangalia upande wa pili ikiwa Yu hai, au angetuachia kitabu tukisome.Kwanini hampendi kusikia au kuona upande mwingine wa Magufuli? Hamuoni kwamba kuna mengi mabaya pia alitenda?
Mwamba ,waliamua kukatisha maisha yake,atabaki mioyoni mwetu daima kwa uwajibikaji wake makini
Tungeangalia upande wa pili ikiwa Yu hai, au angetuachia kitabu tukisome.
Tamaduni zetu Afrika hatuendi Kwa wafu kuwalaumu, tunajifunza mema yake.
Ikiwa Kuna watu walitendewa mabaya KITI KIPO, kiwachukulie hatua.
Leo tunamkumbuka Rais JASIRI, MCHAPAKAZI, MCHA MUNGU,
Nchi nzima ameacha ALAMA zake, ndomana hakuandika kitabu, tunazisoma KAZI zake.
Ktk issue ya COVID he was a PROPHET.
Alikuwa adhimu na mwenye nia
Shujaa mwongoza njia
Wanyonge walimkimbilia
Tumaini lao walimpatia
Miradi iliendelea
Uchumi wa kati tukaingia
Kufanya kazi alizingatia
Uvivu hakuvumilia
Nchi nzima alitembelea
Wananchi, hali aliwajulia
Tumshukuru Jalali
Kwa kiongozi aliyetupatia
Tungeangalia upande wa pili ikiwa Yu hai, au angetuachia kitabu tukisome.
Tamaduni zetu Afrika hatuendi Kwa wafu kuwalaumu, tunajifunza mema yake.
Ikiwa Kuna watu walitendewa mabaya KITI KIPO, kiwachukulie hatua.
Leo tunamkumbuka Rais JASIRI, MCHAPAKAZI, MCHA MUNGU,
Nchi nzima ameacha ALAMA zake, ndomana hakuandika kitabu, tunazisoma KAZI zake.
Ktk issue ya COVID he was a PROPHET.
Hatutoki ng'o.Anzisheni chama chenu mkiite Genge S.
Nawe ni mmoja ya waliouawa kama Fazil?Yule damu za watu zinamlilia. Kiongozi mbovu kuwahi kutokea.