Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Mwenye uwezo wa kuyatwa maisha ya mwanadamu ni Allah pekee! Asiporidhia haitowezekana kamwe!mifano ipo wazi DHAHRI.Mwamba ,waliamua kukatisha maisha yake,atabaki mioyoni mwetu daima kwa uwajibikaji wake makini
| 9) Wakatabahu khadimu, Mimi kijitu fakiri. | (9) This was written by a servant, I’m an unimportant, poor person |
| Jina langu mwalimu, Mbaraka bin Shomari. | My name is Mwalimu, Mbaraka bin Shomari. |
| Nimesifu mwazzimu, Mfalme akhiyari | I’ve praised the Great, the beloved Kaiser — |
| Hapana tena hapana, wewe ndio Kaizari! | There is nobody else. You are the Kaiser! |
Mioyo yetu haiweki akiba ya Waliokufa bali ya walio hai....Mwamba ,waliamua kukatisha maisha yake,atabaki mioyoni mwetu daima kwa uwajibikaji wake makini
| (1) Leo siku ya tatu katika mwezi wa Juni | (1) Today is the third day in the month of June |
| Kazaliwa Bwana wetu King George Sultani | When was born our lord and sultan King George |
| Jamii ya wote shime andameni Mkongeni | Everyone hurry up and proceed to Mkongeni |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (2) King George ni mwana wa King Edward | (2) King George is the son of King Edward |
| Amezaliwa Ulaya nchi ya upande wa kaskazi | He was born in Europe in a country to the north |
| Kama tujuavyo yeye ni pekee asadi17 | As we know he is a special lion |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (3) Watakutana mabwana wakubwa na wadogo | (3) The noble and the lowly will participate |
| Hapazuiwi kijana akuambiaye ni mrongo | No youth will not be denied; whoever tells you otherwise is a liar |
| Wala fujo hapatakuwa ya mafimbo na magongo | Nor will there be disturbances with sticks or clubs |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (4) Siku hiyo ni siku ya furija na anasa18 | (4) This day is a day of celebration and entertainment |
| Atakayejaliwa kwenda furaha hatakosa | Whoever attends will certainly be happy |
| Kwani ni siku ya idi bashasha yatupasa | For it is a holiday and we are expected to be joyful |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (5) Atahudhuria Gavana bwana wa Tanganyika | (5) His Lord the Governor of Tanganyika will attend |
| Siku hiyo mwenye nishani itampasa kupachika | On this day whoever has medals should wear them |
| Asiyekuwa na mwana hata jiwe ataeleka19 | The one without children should carry a stone |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (6) Akina Bwana Askari hupanda wao farasi | (6) The soldiers will mount their horses |
| Mwendo wao taratibu kama mwendo wa papasi | They will pass slowly by, at the speed of a tick |
| Kuwaonyesha raia mambo yasiyo kiasi | To show the citizens extraordinary things |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (7) Tazameni ibura ya Mfalme kuwa Ulaya | (7) Look at this extraordinary celebration for a king who is in Europe |
| Huko mambo mbayana kama amehudhuria20 | There [at Mkongomeni] things will be celebrated as though he were attending |
| Jamaa ukaidi wani mbona mtaangamia21 | What’s the point of being stubborn lest you be destroyed?22 |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (8) Kuna wingi wa Polisi wazuiao hatari | (8) There are many police to prevent danger |
| Wapitisha kwa kiasi zote pia motakari | They only allow selected motorcars to pass |
| Hiyo ndiyo dunia wala nyingine haiwi | That is indeed how the world is. It cannot be otherwise |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (9) Mfalme King George wote mnamjua | (9) Sovereign King George all of you know him |
| Kwa alama za mataji mara utamjua | By the symbol of his crowns you’ll immediately recognize him |
| Na utakapo ya zaidi soma utajua | And if you want to know more, read about him |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (10) King George ana sifa kupenda wake raia | (10) King George is known for liking his subjects |
| Walio bora na hafifu wote twamfurahia | The upper and lower classes we all are happy for him |
| Tumwombee Rabuka huruma amzidishie | Let us pray to God will show more mercy to him |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
| (11) Sifa hapa zimekoma mwaka huu najaribu | (11) The praises end here, this year I am trying |
| Labda nitapata yangu huwa bahati nasibu | Perhaps I will have my luck |
| Sikukaa nasimama nangoja yangu matulubu23 | I am not sitting, I stand, waiting to get what I expect |
| Tukatazame heshima ya maulana King George. | So we see respect paid to His Highness King George |
Leo ni siku ya usalama barabarani na usipende kutuchanganya kwa ratiba nyingine zisizotambulika na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.View attachment 2555057
Nipende kuchukua fursa hii kuwatakia nyote heri ya siku ya Magufuli.Tuendelee kuwa wazalendo , Tuchape kazi kwa maendeleo na manufaa ya taifa letu huku daima tukimtanguliza Mungu.Tuendelee kuenzi na kukumbuka falsafa za shujaa wetu huku daima tukiendelea kupinga Ufisadi, Rushwa, Uzembe makazini, Wizi Ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali zetu.Kujitoa kwa moyo wote katika kutetea makundi yote ya watu, Na kuondoa tabaka kati ya matajiri na masikini, kusogeza serikali katika kuhudumia wananchi hususan wa daraja la chini.Daima kuwa wakweli na wenye nia thabiti isiyotetereka katika kulipigania taifa letu.
Kwa mara nyingine niwatakie heri ya siku ya Magufuli.
Unaposema JPM ni zawadi una maanisha nini? Uonevu, kupotea kwa watu, kuminywa kwa demokrasia yetu, kuumizwa kwa wanasiasa na wengine kuuwawa, mzigo wa madeni na maisha magumu tulioachiwa au nini hasa?Tutamkumbuka Kwa UZALENDO wake na Maono yake kuitazama Nchi hii TAJIRI yenye uwezo wa kusaidia wengine.
Tutahakikisha tunapambana na RUSHWA inayozuia kuifikia Tanzania ya MAGUFULI.
Asante Mungu Kwa zawadi ya Magu.
MUNGU Tunakuomba utuletee kiongozi mkali zaidi ya Magu hapo 2025 ikiwa uchaguzi mkuu utafanyika.
Amen
Unamaanisha baada ya wewe kuuwawa umefanikiwa kuja kucoment?Unaposema JPM ni zawadi una maanisha nini? Uonevu, kupotea kwa watu, kuminywa kwa demokrasia yetu, kuumizwa kwa wanasiasa na wengine kuuwawa, mzigo wa madeni na maisha magumu tulioachiwa au nini hasa?
Dunia nzima inaadhimisha siku hii!View attachment 2555057
Nipende kuchukua fursa hii kuwatakia nyote heri ya siku ya Magufuli.Tuendelee kuwa wazalendo , Tuchape kazi kwa maendeleo na manufaa ya taifa letu huku daima tukimtanguliza Mungu.Tuendelee kuenzi na kukumbuka falsafa za shujaa wetu huku daima tukiendelea kupinga Ufisadi, Rushwa, Uzembe makazini, Wizi Ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali zetu.Kujitoa kwa moyo wote katika kutetea makundi yote ya watu, Na kuondoa tabaka kati ya matajiri na masikini, kusogeza serikali katika kuhudumia wananchi hususan wa daraja la chini.Daima kuwa wakweli na wenye nia thabiti isiyotetereka katika kulipigania taifa letu.
Kwa mara nyingine niwatakie heri ya siku ya Magufuli.
Magu hakuwa mtu. kiulize KITI..Hebu fafanua jambo hili.Unamaanisha baada ya wewe kuuwawa umefanikiwa kuja kucoment?
Magu hakuwa mtu, kiulize KITI.
Magu hakuua mtu. Kiulize KITI.Magu hakuwa mtu. kiulize KITI..Hebu fafanua jambo hili.