Tuendelee kuheshimu na ku-support bongo flava honors ya inayoandalia na Sugu

Hakika mkuu.

Inaumiza nostalgia yako ya muziki wa zamani inaharibiwa kizembe saanaaa
Uchawa ni ugonjwa unaoambukiza wengi wasiojitambua.

Tokea shoo ya jana mlimani city mwana FA ataendelea kuitumia jina la mwana FA( mwana falchawa)

Rasmi Mwinyijuma amevuliwa heshima ya falsafa na kutunukiwa heshima ya Falchawa.

Alichokipata Falchawa Jana hatakaa akisahau.
 
Tatizo lao wanadhani Watanzania wa miaka ya 90 na 80 ndio wale wale.

Times have changed, wataona mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…