Tuendelee kujifunza kwa wengine

Tuendelee kujifunza kwa wengine

Teleskopu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2017
Posts
702
Reaction score
767
10 months into the COVID-19 mass vaccination campaigns in the UK, statistics provided by the UK’s Health Security Agency now clearly show that those who have been fully vaccinated are suffering far worse health and are susceptible to infections at greater rates than the unvaccinated.

11.jpg

Maana yake:
Miezi 10 baada ya kuanza kampeni za udungaji wa watu wengi Uingereza, takwimu zilizotolewa na Health Security Agency ya Uingereza sasa zinaonyesha wazi kwamba wale waliopokea sindano zote (dozi kamili), kwa kiwango kikubwa, wanakumbwa na matatizo makubwa ya kiafya na wako kwenye hatari zaidi ya kupata maambukizi kuliko wale ambao hawajadungwa.

Unaweza kusoma zaidi kwa kubofya HAPA.
Tuendelee kujifunza.
Jiridhishe na mambo.
Hata post hii nayo jiridhishe nayo kwanza.
Mungu atusaidie.
 
View attachment 1987514

Mkuu unaweza kuweka chanjo cha taarifa yako kutoka kwenye chanzo cha UK’s Health Security Agency ulichokitaja ???
 
Back
Top Bottom