Ze dudu.umeleta kizaazaa mjini.wewe sio wa kuwataja wenzio ni chakula cha wakubwaZama na kuumwa figo vinahusiana nini
HELL NO!!🙇😬Kule Twitani kuna watu wanadai mchzi kesharudisha namba, ila anangojea konfimesheni juu ya hilo suala.
Tuombe haya yasiwe na ukweli kwakuwa mshkaji bado mchango wake unahitajika.
Tusubiri tuone.
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]Kule Twitani kuna watu wanadai mchzi kesharudisha namba, ila anangojea konfimesheni juu ya hilo suala.
Tuombe haya yasiwe na ukweli kwakuwa mshkaji bado mchango wake unahitajika.
Tusubiri tuone.
Mchezaji wa Azam Fc ila yupo trial APR ya South AfricaRuge ndio nani?
Ooh!Mchezaji wa Azam Fc ila yupo trial APR ya South Africa
Ruge yupi?
MnanichanganyaWa Tegeta Escrow
Ruge Mutahaba wa Clouds Media!Mnanichanganya
Kuna mmoja kasema yule wa clouds na wewe wasema yule wa Escrow
Which is which?
AiseeKule Twitani kuna watu wanadai mchzi kesharudisha namba, ila anangojea konfimesheni juu ya hilo suala.
Tuombe haya yasiwe na ukweli kwakuwa mshkaji bado mchango wake unahitajika.
Tusubiri tuone.
[emoji22][emoji22]Chanzo cha kuumwa ni kipiRuge Mutahaba wa Clouds Media!
Sie tunajua kua anaumwa ...wambea walioleta taarifa hawajasema chanzo ...sabab nao wameyanukuu waliyoambiwa....[emoji22][emoji22]Chanzo cha kuumwa ni kipi