Tuendelee kumuweka Mtanzania mwenzetu Ruge kwenye maombi

Tuendelee kumuweka Mtanzania mwenzetu Ruge kwenye maombi

Kule Twitani kuna watu wanadai mchzi kesharudisha namba, ila anangojea konfimesheni juu ya hilo suala.
Tuombe haya yasiwe na ukweli kwakuwa mshkaji bado mchango wake unahitajika.
Tusubiri tuone.
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]
 
Zama huko aliko nae pressure iko juu juu
 
Kwan akiishi anakusaidia nn Na akifa utakisa nn mapenz ya mungu nayatimizwe !
 
Wakuu anaumwa ugonjwa gani? Get well soon rugemalila mutahaba
 
Back
Top Bottom