Huo upuuzi hukuna aliyemaliza 2001 hapo ni janja janja za utumishi Kam search huyo jamaa MCT utaona kamaliza lini na ikikupendeza wa search wote utagundua watu wameajiriwa hata bila lessen
Yaani hii nchi sijui watoto wa masikini wataenda wapi?........kila sehemu ni utapeli.....yaani TAMISEMI walichofanya hapo ni dhahiri bila rushwa hizi ajira huwezi pata.....wamewapa wahitimu miaka ya uongo hapo karibia 90%(nini maana ya hicho walichofanya)
Wahitmu wengi hapo wamemaliza miaka ya 2022 na 2023.....na wameandikwa wamemaliza 2001....2014......inasikitisha sana.......wengine hawana hata license for practices na wameajiriwa hapo