M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Kwani hiyo misikiti haipo kwenye makazi ta watu?Labda kama wanafadhili masomo ya Quran. Maana kwenye elimu dunia hawajawahi kufadhili hata chekechea.
Na visima wanachimba kwenye misikiti ya Suni tu, makazi ya watu na misikiti ya shia wanaruka.
Tuliza mshono. Dini imetajwa wapi?Umekaa kabisa ukawaza, ukafungua jamiiforums na kuandika hisi za kidini. Hauna mambo ya msingi kweli kichwani?
Iko kwenye maeneo ya msikiti.Kwani hiyo misikiti haipo kwenye makazi ta watu?
Umekaa kabisa ukawaza, ukafungua jamiiforums na kuandika hisi za kidini. Hauna mambo ya msingi kweli kichwani?
Tuliza mshono. Dini imetajwa wapi?
TendeTuliza mshono. Dini imetajwa wapi?
Tende ni dini gani?Tende
Dini ipi?Nyumba za ibada
Hamna nchi za Europe ndio zinatukopesha bila riba ndio mana tumekimbilia kukopa huko😬😃Labda kama wanafadhili masomo ya Quran. Maana kwenye elimu dunia hawajawahi kufadhili hata chekechea.
Na visima wanachimba kwenye misikiti ya Suni tu, makazi ya watu na misikiti ya shia wanaruka.
There is no free lunchWafadhili hawa wamefanya mkubwa nchini,
1. Visima vya maji,
2. Ufadhili wa masomo (ngazi ya uzamili na uzamivu-Master na PhD),
3. Nyumba za Ibada na Ujenzi wa barabara ya Dar-Rufiji-Lindi-Mtwara.
4. Tende.
Iliyo enea kusiniDini ipi?
Hilo ni tunda lenye asili yake,huko huko unako taka watu waenziTende ni dini gani?
Nini madhumuni ya chambo hicho kama sio kuvua nyangumi, na tuna jua nyangumi anaweza kuangusha Meli.Wafadhili hawa wamefanya mkubwa nchini,
1. Visima vya maji,
2. Ufadhili wa masomo (ngazi ya uzamili na uzamivu-Master na PhD),
3. Nyumba za Ibada na Ujenzi wa barabara ya Dar-Rufiji-Lindi-Mtwara.
4. Tende.
Ufadhili huo ukipofanyika na maeneo hayo yakaanza na makundi ya kigaidi ya kiislamu maeneo ya barabara hiyo ya mkuranga kinbiti na Rufuji .Ufadhili ulienda na huko juku huku nyumba za ibada huku ufadhiki ea ugaidi kwa vijana waswahili humo misikiti fadhiliwa3. Nyumba za Ibada na Ujenzi wa barabara ya Dar-Rufiji-Lindi-Mtwara