Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
šš wee alikufa alafu akafufuka?Soma book of Enock, huyu alikwenda mbinguni na alirudi na mrejesho.
Kabisa ndugu yangu, pesa pesaSema kuna wadau wanakojolea pazuri
Alikwenda akiwa hai na akarudi hai.šš wee alikufa alafu akafufuka?
Kama huyo ndo kavua nguo kitu live hii hapa aiseešKabisa ndugu yangu, pesa pesa
Eeeeh, alienda kwa kutumia kifaa gani?Alikwenda akiwa hai na akarudi hai.
Ni mmea ambao unamea kwa kipindi fulani baada ya hapo unanyauka na kufia huko.Umejuaje kama maisha mafupi
mkuu tuwekee reference kwamba alirudi ili tuelewe vizuriAlikwenda akiwa hai na akarudi hai.
Punguza matumizi ya vileviNi mmea ambao unamea kwa kipindi fulani baada ya hapo unanyauka na kufia huko.
SawaPunguza matumizi ya vilevi
Sasa si mpaka uwe na hela?Vitabu vya dini vinasema kuna maisha huko mbinguni baada ya kifo, ndugu zetu waislamu wameahidiwa mabikra 72 huko peponi.
Yote yaliyosemwa kwenye vitabu vya dini kuhusu maisha baada kifo imebakia kuwa fumbo kwetu, maana hakuna aliyeenda huko na kuleta mrejesho, hata yesu mwenyewe alisema atarudi, ila mpaka leo bado hajarudi.
Tuenjoy maisha ndugu zangu, najua kuna kipindi tunapitia magumu yenye maumivu makali, ukipata time ya kuenjoy maisha enjoy maisha yenyewe mafupi haya.
Usipopata book of enock nunuwa biblia ya Orthodox ina vitabu 82 icluding book of Enoch.mkuu tuwe,.zmm,.kee reference kwamba alirudi ili tuelewe vizuri
tunajua alienda mbinguni akiwa hai
Wakristo wanajibana na sheria gani wakati kwenye maparokia kuna bar na kitimoto inauzwa?Kabisa, juzi nilikuwa kwenye kongamano la pastor kapola
Kasema hivi hivi
Wakristo wanajibana bana na sheria, kuleni maisha!
Yesu ni wa raha, ukimuamini atakujazilishia ili ukastareheš