Tuenjoy maisha ndugu zangu, maisha yenyewe mafupi haya

Kitu nimejifunza hapa Dunian ni kufarahia maisha,
Maisha ni mafupi mno,basi yafurahie yaani furahia.
Epuka na muepuke mtu atakayekufanya uwe na stress,
Viepuke/epuka Chochote kitakakusababishia stress,hakikisha maisha yako yaliyobakia hapa Dunian unayafurahia,
hatakama ni mke/mume/girlfriend/boyfriend
anakukosesha amani muepukeee.

unastahili furahia kwenye maisha yako
 
Una ndugu unaishi naye kwako lakini msumbufu muda mwingi anakutia stress, arudi kwa mama yake akamsumbue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…