nilishawahi kutumia viagra, nilinunua phamacy nikanywa, matokeo yake, sikuona tofauti yeyote. nilikuwa nasikia sijui ikoje nikasema ngoja nijaribu huwa inakuwaje, wala sio kwamba nilikuwa na tatizo la nguvu.....nilikuwa na miadi ya mademu wawili nikawa nimewapanga lodge mbili tofauti ili mmoja nikimpiga nimwambie anisubiri kuna mtu naenda kutana naye, alafu naenda kumkata na yule wa kule, lakini nguvu zile ninazokuwa nazo kila siku ndio nilikuwa nazo zilezile tu. labda ndio mwili wangu hata sikuelewa.Habarini wanajf
JF inawatuwengi na ni wataalamu wa mambo mengi, nimeleta uzi huu mahususi kupeana elimu na ufaham kwamba je VIAGRA inapoingia mwilini inafanya vp kazi kwa vichocheo gani, kwa muda gani, ufanyeje kuondoa sumu ya dawa hyo mwilini endapo hujapata kile ulichokitaraji na kipengele cha mwisho wataalamu watufahamishe madhara yake na utaanza kayaona baada ya muda gani??
Ahsantee...kwa kushare nasi elimu yako.