Habarini wanajf
JF inawatuwengi na ni wataalamu wa mambo mengi, nimeleta uzi huu mahususi kupeana elimu na ufaham kwamba je VIAGRA inapoingia mwilini inafanya vp kazi kwa vichocheo gani, kwa muda gani, ufanyeje kuondoa sumu ya dawa hyo mwilini endapo hujapata kile ulichokitaraji na kipengele cha mwisho wataalamu watufahamishe madhara yake na utaanza kayaona baada ya muda gani??
Ahsantee...kwa kushare nasi elimu yako.