Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hivi? Habari Carlos naitwa Kikubwa PumziHabari! naitwa Carlos
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chichidodo Mtokambali
Male
Muuza Mapupu
Carlos Clement...Kwa nini unatafuta majina ya watu wakati wewe hujatoa jina lako kamili?
Acha kutumia style butu.
Weka jina lako kamili, namba yako ya simu na email yako.
Na wenzio watakaofuata huo mkumbo mtakuwa mmefahamiana vizuri.
Haya malizia na vingine [emoji2] [emoji2]Carlos Clement...
Habari naitwa felician!
Email yake naifahamu mkuu ni clement_carlos2001@gmail.comHaya malizia na vingine [emoji2] [emoji2]
Mlete na fomu pamoja na peni,uduanzi huu peleka huko orientation hall.Kwa kutia nyama uzi ingependeza zaidi tufahamiane kwa majina yetu halisi,miaka,sehemu tulipo ila ziwe za ukweli wana ndugu,marital status,Sex,Age na kadhalika.
Karibun wadau twende kazi.