Tufahamiane kabla ya kumaliza mwaka 2017

Hahahahaha Uzi una viewers wengi kushinda waliokomenti.

Uwindaji na umbea
 
Kwa nini unatafuta majina ya watu wakati wewe hujatoa jina lako kamili?
Acha kutumia style butu.
Weka jina lako kamili, namba yako ya simu na email yako.
Na wenzio watakaofuata huo mkumbo mtakuwa mmefahamiana vizuri.
Carlos Clement...
 
Habari mimi naitwa Yohana mbatizaji ila atakuja yule wa kuwakomboa watu na dhambi zao
 
Naitwa Abdala Kichwa Wazi wa Mbalizi
 
Naitwa NIYAO MAO
AGE : 78
FROM:YOKOHAMA JAPAN
 
Kwa kutia nyama uzi ingependeza zaidi tufahamiane kwa majina yetu halisi,miaka,sehemu tulipo ila ziwe za ukweli wana ndugu,marital status,Sex,Age na kadhalika.

Karibun wadau twende kazi.
Mlete na fomu pamoja na peni,uduanzi huu peleka huko orientation hall.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…