Tufahamiane Kwa kazi tunazofanya kuingiza vipato

Nitwa Jonh Albert Mwaulaya, fuatilia vizuri na kuulizia utaijua kazi yangu.
 
Kazi zangu ni umbea unafiki uzandiki na kufitinisha [emoji4][emoji2]
 
Fundi majeneza & mochwari attendant
 
Naota ndoto za watu kufa afu naishi kisongo.
 
Mimi bado naisoma 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12 13,15,16,29,30....
 
Mimi ni mfanyabiashara mkubwa sana hapa nchini, nisipo-import nchi inasimama!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…