Tufahamiane: mimi ni tajiri mkubwa mwanza mjini wewe je ?

Tufahamiane: mimi ni tajiri mkubwa mwanza mjini wewe je ?

tajiri wa mwanza

Senior Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
138
Reaction score
226
Rejea kichwa cha habari hapo juu ngependa tujuane vizuri wana jf ili tutengenezeane connection humu humu ndani
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu ngependa tujuane vizuri wana jf ili tutengenezeane connection humu humu ndani
Mimi ni masikini mkubwa sanaaaa hapa jijini Dar na bashite naye kakimbia mji kwasababu hyo hyo ya umasikini ,ningependa sanaa unipatie ajira kwenye mambo ya umeme na mawasiliano.
Asante sanaaaa
 
Kwa Mahitaji Ya Nguo Za Kiume za Kijanja Hapa Nchini
Tembelea
Black_Shop_Online
*Instagram*
Delivering wherever You Are in All Regions in Tz
WhatsApp or Call
*0713078949*
Best
*Quality*
&
*Quantity*
ungekuwa unaweka bei ingesaidia sana kama nahitaji nisingekuwa na shida ya kukuuliza
ni kiasi gani cha pesa kwa bidhaa flani instead ningekwambia nilitee bidhaa flani
apa nazungumzia hasa acc yako ya insta
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu ngependa tujuane vizuri wana jf ili tutengenezeane connection humu humu ndani
Unamfahamu Zacharia Yule anayeendesha gari katikati ya barabara kwa kiburi cha pesa na lazima umpishe na yuko chini ya sheria unamjua?
 
Tajiri mkubwa manayake nini, sema unamiliki nini na umepataje acha maneno.

Yani kufahamiana ndio huko kusema wewe ni tajiri mkubwa huko mwanza ndio utafahamika??.

Tajiri " mkubwa"unamiaka mingapi.
 
Back
Top Bottom