Tufahamiane: mimi ni tajiri mkubwa mwanza mjini wewe je ?

Maduka yote makoroboi na meza zote mlango mmoja Mza ni zangu.
 
Khaaaa watu wanajua kujisifia hatari.......hongera tajiri
 
Aisee...baadhi ya watanzania ni wapesi wa wengi mmehisi ni tajiri wa pesa kumbe anaweza akawa tajiri wa mirupo tu au hata akawa hata tajiri mapenzi kama baadhi yao wanavyowafagilia watu wa tanga nao ni matajiri wa mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu ngependa tujuane vizuri wana jf ili tutengenezeane connection humu humu ndani

Hata mimi ni maskini mkubwa pale nyakato,tuonane unipe mawazo jinsi ya kutatua changamoto za maisha ili niwe tAjiri mkubwa kama wewe
 
Mimi Authorized Mvuvi Hapa Igombe!!!

KIMEO CHANGU
 
Kuna rafiki Yangu jambazi mkubwa sana hapo mwanza itabdi nmukutanishe na tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…