St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Je waweza kutambua kazi/sifa za mtu humu Jamii forum kwa jinsi tuu anavyoandika /kuchangia mada mfano: Mwalimu,Nurse,dokta,mwanafunzi,mhandisi,mwanasheria,mrefu,,mkoa anaoishi...nk???
Basi leo tutambuane kwa vigezo ivyo tukianza na mimi mleta mada ukikosea ntajitokeza na kutoa Cv yangu in brief about job place niko naishi...nk
Uko free kucomment kwa mtu yeyote yule.
KARIBUNI.