Tufahamiane/Tujuane/tutambuane wana JamiiForums

Tufahamiane/Tujuane/tutambuane wana JamiiForums

Lumumba ni tabu tupu....kwa hiyo uwezo ndo umeishia hapo?
 
Yaaan hata kama umetumwa mbinu unazozitumia kuchota watu ni za kitoto kinoma
 
Ungeanza mwenyewe mleta maada,vipi unataka uwatambue wenzio tu,lazma kunakitu unawinda siyo bure.
hahahaha eti nawinda hapana boss na mada kama mada nyingine tu am not a hunter
 
Je waweza kutambua kazi/sifa za mtu humu Jamii forum kwa jinsi tuu anavyoandika /kuchangia mada mfano: Mwalimu,Nurse,dokta,mwanafunzi,mhandisi,mwanasheria,mrefu,,mkoa anaoishi...nk???

Basi leo tutambuane kwa vigezo ivyo tukianza na mimi mleta mada ukikosea ntajitokeza na kutoa Cv yangu in brief about job place niko naishi...nk

Uko free kucomment kwa mtu yeyote yule.

KARIBUNI.


Mimi ni mpiga debe, na wakati mwingine nakua KONDAKTA.
 
Alafu tukifahamiana ! Sina haja ya kukujua wala kunijua tumekutana jf na tutaachana jf
 
Back
Top Bottom