[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]naona wewe umetumwa siyo bure, humu watu wanaishi Kama digidigi, tutambuane ili iweje?
ili uwarahisishie kazi wang'oa meno? 0
kwenda zako huko.
Usalama wa nini?Mimi ni Afisa Usalama
Usalama wa nini?Mimi ni Afisa Usalama
Kwani wewe unajua Usalama wa nini?Usalama wa nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulivyowapata Facebook unadhani ndio utakavyotupata Jamii forums hatujaribiwi sisi.
Kwa prize na kutoa kucha piamtoa mada ni daktar wa kung'oa meno pita mbali
Ts a sad fact to let u know kwamba you are not annonimous actually no one is.yaan ili iende sawa ungekuja na full cv yako hapa tukuone... bya tha way we happily enjoying being anonymous here.
Google mapUmesema!!!ndo wapi uko kesho nije nikusalimu
Usalama wa mifugo na mazaoKwani wewe unajua Usalama wa nini?