Tufahamiane/Tujuane/tutambuane wana JamiiForums

Tufahamiane/Tujuane/tutambuane wana JamiiForums

Mimi ni dereva mzoefu naitwa G'taxi,pamoja na kufanya kazi kwenye mashirika takribani miaka 10 lakini mimi ni taxi man nisiyepungukiwa na uzoefu wa kujua kila pembe ya mitaa ya jiji naloishi,upo hapo brother?
 
Hahahahaaaaaaa yani watu humu watu wamepinda mbaya, hongera mleta mada maana nimeburudiiika mno
 
Back
Top Bottom