Tufahamiane/Tujuane/tutambuane wana JamiiForums

Tufahamiane/Tujuane/tutambuane wana JamiiForums

NA MASNICHI TUTAISHIA KUONANA WA JF COZ KUJUANA SANA NI KICHEFUCHEFU
 
Ts a sad fact to let u know kwamba you are not annonimous actually no one is.
its fine what u say but i enjoy what am being right now if u think i am not then GOOD FOR YOU.
 
Je waweza kutambua kazi/sifa za mtu humu Jamii forum kwa jinsi tuu anavyoandika /kuchangia mada mfano: Mwalimu,Nurse,dokta,mwanafunzi,mhandisi,mwanasheria,mrefu,,mkoa anaoishi...nk???

Basi leo tutambuane kwa vigezo ivyo tukianza na mimi mleta mada ukikosea ntajitokeza na kutoa Cv yangu in brief about job place niko naishi...nk

Uko free kucomment kwa mtu yeyote yule.

KARIBUNI.
KWA AWAMU HII HAKUNA HAJA YA KUFAHAMIANA HUMU KWENYE HII FORUM,,,,,,,,,,,,, NI KUTAFUTIANA MATATIZO TU
 
Mtoa mada umeenda mbali sana!!! Acha watu tuwe km tulivyo ili mambo mengine yaendeleee!!!!! [emoji3]
 
Watu WA jf kumbe wanapanic hivi.. Sijui wengi niwaweke kwenye kundi gni
 
Je waweza kutambua kazi/sifa za mtu humu Jamii forum kwa jinsi tuu anavyoandika /kuchangia mada mfano: Mwalimu,Nurse,dokta,mwanafunzi,mhandisi,mwanasheria,mrefu,,mkoa anaoishi...nk???

Basi leo tutambuane kwa vigezo ivyo tukianza na mimi mleta mada ukikosea ntajitokeza na kutoa Cv yangu in brief about job place niko naishi...nk

Uko free kucomment kwa mtu yeyote yule.

KARIBUNI.
Mimi nahitwa Bongo experience najua mambo yote magumu na mepesi yanayowashinda Wabongo.
 
Back
Top Bottom