Tufahamiane wanaJF Kigoma/Kasulu town

Tufahamiane wanaJF Kigoma/Kasulu town

Jamani iv kuna wanaJF wanaoish hapa Kasulu/KIGOMA? Kam mpo tujitambulishe then cku1 tupange tukutane tufahamiane physically,

Me npo Kasulu eneo la Mlimani...

Karibuni [emoji4]
Njo Mwandiga, hapa kwenye nyumba yangu iliyoungua moyo. iko Road kabisa. karibu
 
nipo hapa kinoli barabara ya kwenda chenzi kigoma moja hii
 
Back
Top Bottom