tena kama aliesema ni mfano wa MUNGU ni mwanaume yuko sawa kabisa, maana maandiko matakatifu yanaenda mbali zaidi na kusema MUNGU BABA na siyo MUNGU MAMA.Imeandikwa tumeumbwa kwa mfano wake
si mchezo, kwa huo wino unaoutaka bila shaka unataka kutuelezea chura yako ilivyomimi sijui hata nianzie wapi yaani maaana wino hautoshi
membamba sana kuna mtu juzi kaniambia dada usipande bodaboda na miguu yako hiyo rahisi kuvunjika .. nilichukia ila ndiyo ukwelimiguu bado hujasema mkuu....
Ohoooo!!!mh
acha niwe msomaji tu niangalie mionekano yenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi kwa jina naitwa PROF NDUMILAKUWILI ni mwanaume wa mkoani na kuhusu muonekano wangu picha hapo chini inamajibu[emoji116]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uliyebambia au kubambiwa?Hii thread ilibidi isikose picha ila sio mbaya mm ni uyu abilia hapo no details
duh safi kabisayani wewe kama mimi tu labuda tumepishana jinsia tu
pesa Huna?Hahaahaa!!!
Mimi ni mwanaume wa mkoani.
Maji ya kunde
Mfupi kama Joti
Mwembamba kiasi.
Nina kipili pili.
Matege
Macho meusi
Nyusi nyingi kiasi.
Pua iliyopondwa
Kibamia
Hongera uko vizuri.
safi sanaMimi kwa jina naitwa PROF NDUMILAKUWILI ni mwanaume wa mkoani na kuhusu muonekano wangu picha hapo chini inamajibu[emoji116]
Michael ww si huwa unajisifu una hogo leo kibamiaHahaahaa!!!
Mimi ni mwanaume wa mkoani.
Maji ya kunde
Mfupi kama Joti
Mwembamba kiasi.
Nina kipili pili.
Matege
Macho meusi
Nyusi nyingi kiasi.
Pua iliyopondwa
Kibamia
hahahhh akikujibu niite[emoji23] [emoji23] [emoji23] uliyebambia au kubambiwa?