Tufahamiane, wewe ni wa muonekano gani?

Tufahamiane, wewe ni wa muonekano gani?

Imeandikwa tumeumbwa kwa mfano wake
tena kama aliesema ni mfano wa MUNGU ni mwanaume yuko sawa kabisa, maana maandiko matakatifu yanaenda mbali zaidi na kusema MUNGU BABA na siyo MUNGU MAMA.
 
Mimi kwa jina naitwa PROF NDUMILAKUWILI ni mwanaume wa mkoani na kuhusu muonekano wangu picha hapo chini inamajibu[emoji116]
dfb5eead5d40d578f3e9fc993debd559.jpg
 
Hahaahaa!!!

Mimi ni mwanaume wa mkoani.
Maji ya kunde
Mfupi kama Joti
Mwembamba kiasi.
Nina kipili pili.
Matege

Macho meusi
Nyusi nyingi kiasi.
Pua iliyopondwa
Kibamia
 
mie nnachojua mi n mzuri tu.. Ivo tu[emoji23]
 
Back
Top Bottom