Alafu unapenda sana helamimi
katikati ya mfupi na mrefu
kibonge chembamba sijui nijiweke wapi?
mweupe kuelekea mweusi
ndiyo mkuuAlafu u apenda sana hela
Em Mwambie hyu mzeeMods futa vitu km hv maana havitujengi wala kuleta mbinu ya kuleta pesa. Sanasana ni umbea tu.wenzenu wanawaza nucleair war, ww unawaza sifa za kijinga.
hapa ni chit chat mkuu relax
Kuna mtu/watu wanatafutwa... Hahaha...
Mm msipate shida kunijua huyo wa kwenye avatar ndio mimi.Wengi wetu hatujaonana ana kwa ana...
but tunaweza jieleza hapa tulivyo ili angalau kila mmoja apate taswira ya muonekano wa mwenzake...(Nafikiri si mbaya).
.
Sina shaka kuwa mara nyingi ukimjibu au kusoma thread ya mtu kuna mawazo/taswira fulani ya mtu huyo unaipata...kwa namna hii tunaweza isaidia akili zetu kwa kiasi kuipa muongozo wa taswira wa namna mtu(member mwenzio) anavyofanania...
.
NIANZE MIMI:
-Mwanaume
- Ni mrefu kidogo(ft 5 na inchi kadhaa)
- Mweusimweusi
-No six pack wala kitambi
-Mwili wa kawaida japo si mwembamba kutisha
.
Wewe unafananaje?
Mrembo kwema?Pathetic.
Kwemaaa,Mrembo kwema?
Wenzio wanafahamiana mubashara humu shauli yako wee endelea kushangaaWengi wetu hatujaonana ana kwa ana...
but tunaweza jieleza hapa tulivyo ili angalau kila mmoja apate taswira ya muonekano wa mwenzake...(Nafikiri si mbaya).
.
Sina shaka kuwa mara nyingi ukimjibu au kusoma thread ya mtu kuna mawazo/taswira fulani ya mtu huyo unaipata...kwa namna hii tunaweza isaidia akili zetu kwa kiasi kuipa muongozo wa taswira wa namna mtu(member mwenzio) anavyofanania...
.
NIANZE MIMI:
-Mwanaume
- Ni mrefu kidogo(ft 5 na inchi kadhaa)
- Mweusimweusi
-No six pack wala kitambi
-Mwili wa kawaida japo si mwembamba kutisha
.
Wewe unafananaje?
Kheri nyingi tunashukuru sijui hukoKwemaaa,
za masiku tele.
Huku alhamdulillah, mvua tu za hapa na pale.Kheri nyingi tunashukuru sijui huko