Tufahamiane, wewe ni wa muonekano gani?

Tufahamiane, wewe ni wa muonekano gani?

Katika ubora wangu
81ff8343ae8366df025537edd1c8bf1b.jpg
 
Mwanamume,handsome boy,maji ya kunde.Nina kilo 76.utajua wewe ni mnene au mwembamba
 
Wengi wetu hatujaonana ana kwa ana...
but tunaweza jieleza hapa tulivyo ili angalau kila mmoja apate taswira ya muonekano wa mwenzake...(Nafikiri si mbaya).
.
Sina shaka kuwa mara nyingi ukimjibu au kusoma thread ya mtu kuna mawazo/taswira fulani ya mtu huyo unaipata...kwa namna hii tunaweza isaidia akili zetu kwa kiasi kuipa muongozo wa taswira wa namna mtu(member mwenzio) anavyofanania...
.
NIANZE MIMI:
-Mwanaume
- Ni mrefu kidogo(ft 5 na inchi kadhaa)
- Mweusimweusi
-No six pack wala kitambi
-Mwili wa kawaida japo si mwembamba kutisha
.
Wewe unafananaje?
Mm msipate shida kunijua huyo wa kwenye avatar ndio mimi.
 
Wengi wetu hatujaonana ana kwa ana...
but tunaweza jieleza hapa tulivyo ili angalau kila mmoja apate taswira ya muonekano wa mwenzake...(Nafikiri si mbaya).
.
Sina shaka kuwa mara nyingi ukimjibu au kusoma thread ya mtu kuna mawazo/taswira fulani ya mtu huyo unaipata...kwa namna hii tunaweza isaidia akili zetu kwa kiasi kuipa muongozo wa taswira wa namna mtu(member mwenzio) anavyofanania...
.
NIANZE MIMI:
-Mwanaume
- Ni mrefu kidogo(ft 5 na inchi kadhaa)
- Mweusimweusi
-No six pack wala kitambi
-Mwili wa kawaida japo si mwembamba kutisha
.
Wewe unafananaje?
Wenzio wanafahamiana mubashara humu shauli yako wee endelea kushangaa
 
Mie ni mrefu sana asee, hata nikiweka picha yangu hapa haitatosha... mtaishia kuniona miguu tu hadi kwenye magoti basi!
 
Back
Top Bottom