Tufahamiane, wewe ni wa muonekano gani?

Tufahamiane, wewe ni wa muonekano gani?

Hii thread ilibidi isikose picha ila sio mbaya mm ni uyu abilia hapo no details

ba0a827e5af658d522bf9688749ee60e.jpg
Unajitahidi kubambia...................mkuu hapo si unaweza ukakitupa kabisa
 
aahahahahaaa
wanangu mnawapa pass mi hamna

hapo nlikuwa nimetoka job ndio maana unashindwa kunigundua [emoji23]
Una utani na huyo baba mwenye hao watoto [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi nafanana na Daniel trejo kila kitu yule jamaa aliecheza filam kali kali kama vile machete.
 
Mods futa vitu km hv maana havitujengi wala kuleta mbinu ya kuleta pesa. Sanasana ni umbea tu.wenzenu wanawaza nucleair war, ww unawaza sifa za kijinga.
 
Back
Top Bottom