Wandugu naomba kujuzwa bei ya vitu vya umeme mpakani Tunduma hasa friji maana nasikia kule bei ya vitu hivyo ni rahisi sana kushinda hata Dar nataka nijaribu kujichimbia huko siku za usoni.
Unabisha nini sasa, hujui kuwa watanzania wanaenda Uganda kununua nguo za China na kuja kuuza Dar Arusha nk. Wakati huohuo mziigo ulishukia Dar kutoka China?
Bei ni rahisi kidogo, wenzetu kodi zipo chini. Wakati nipo Mbeya nilikua naennda Tunduma kununua vitu huko bei ni chee.