Tufahamishane bei za friji, luninga na pasi kwa mpakani Tunduma

Tufahamishane bei za friji, luninga na pasi kwa mpakani Tunduma

james bendui

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2015
Posts
693
Reaction score
690
Wandugu naomba kujuzwa bei ya vitu vya umeme mpakani Tunduma hasa friji maana nasikia kule bei ya vitu hivyo ni rahisi sana kushinda hata Dar nataka nijaribu kujichimbia huko siku za usoni.
 
Sio kweli mizigo yote ya Tunduma inatoka Dar.

Unabisha nini sasa, hujui kuwa watanzania wanaenda Uganda kununua nguo za China na kuja kuuza Dar Arusha nk. Wakati huohuo mziigo ulishukia Dar kutoka China?

Bei ni rahisi kidogo, wenzetu kodi zipo chini. Wakati nipo Mbeya nilikua naennda Tunduma kununua vitu huko bei ni chee.
 
Back
Top Bottom