Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hilo dude nalo ni moto wa kuotea mbali.... Nalielewa sana sema basi tu haya maV8 ndiyo tunayokutana nayo sana hapa mjini.muungurumo upo katika Range Rover utadhani kundi la nyuki linapita walikaa sana chini hiyo ni moja ya mimi kulipenda lile dude..
Hivi NISSAN huwa wanatatizo la SILENCE kwenye gari zao nini... Mana daa mpaka kero.Muungurumo wa kibabe inao NISSAN PATROL bhana
Mhh kuna watu mko deep mpaka tunawaogopa...Aisee hakuna mlio mtamu kama wa landcruiser 80 then inafuatiwa ile ya land cruiser 100. Huwa unanifanya nitamani kumiliki ile gari kwa namna yeyote. Nakumbuka kipindi niko mdogo mzee alikuwa anapush lc 80 mpya ya ofisini kwao SUA. Ile mashine ilikuwa manual with diesel aisee acha tu. Tulikuwa tunapiga nayo tours as well kama kwenda kijiji n.k.
Alikuwa anaipiga chafu mbaya yani ina mzuka balaa kipindi akipangua gears wakati ana reverse na kuipa acceleration. That was when i started knowing and liking land cruisers. Aisee cruiser 80 ina mlio mtamu sana. It sound like a beast a real rugged suv!
Land cruiser 200 imepooza sana yani ipo kishoga sana esp. body design ingawa engine lake kubwa.
Kwenye tune department ndio kabisa wamefeli mno. It doesn't even sound like a v8.
They have just ruined the reputation of it i hate 200s! At least ya 2016 iliokuwa facelifted ndio kidogo inashawishi ila bado mlio "F"
Hahahah nina interest kubwa sana na magari mkuu, im as well learning kujua zaidi kuhusu magari hasa hizi suv.Mhh kuna watu mko deep mpaka tunawaogopa...
Tisha sana mkuu, na hii ndiyo career yako.
Ngoja niutafute mkuu nitakuletea in comparison na huu wa landcruiser 80 yenye 1HD-FTE. Ucheki hapa.Embu rudi tena ukasikilize mlio wa cruiser lc200 series diesel na hiyo lc80 series diesel. Ukisikiliza jibu baki nalo moyoni maana najua utaona noma kukubali mziki wa lc200.
Nimewahi kuangalia kipindi kinaitwa Pimp my Ride cha MTV. Walitengeneza gari wakaweka kifaa kinaitwa "vroom box" huwa kinabadili muungurumo wa gari electronically. Hivyo technically gari inaweza kutoa muungurumo uutakao.Hbr zenu,
Kuuliza si ujinga ndugu wana JF hasa ktk hili jukwaa letu la magari na vyombo vya usafiri..
Hivi hawa watu wanaobadili muungurumo wa gari zao mathalani IST unaweza kukikuta kinatoa sound/muungurumo mkubwa kama zile za team teza ama team subaru huwa wanazifanyaje?
Je hivi inawezekana tukafanya ule muungurumo wa cruiserV8 kwenye Premio, Yaani premio ilie kama V8??
V8 kwa upande wangu huwa inanivutia sana ule muungurumo wake, wakati mwingine huwa nadhani muungurumo nao una nafasi yake ya kumfanya dereva azidi kuihisi gari yake pindi aendeshapo (mzuka).
Hizo vurugu za kubadilisha hizo exhaust zinafanyika wapi kwa hapa dar??
Nini madhara yake ikiwa muungurumo utabadilishwa!
Nawasilisha.
Nimewahi kuangalia kipindi kinaitwa Pimp my Ride cha MTV. Walitengeneza gari wakaweka kifaa kinaitwa "vroom box" huwa kinabadili muungurumo wa gari electronically. Hivyo technically gari inaweza kutoa muungurumo uutakao.
Angalia hapa
Hbr zenu,
Kuuliza si ujinga ndugu wana JF hasa ktk hili jukwaa letu la magari na vyombo vya usafiri..
Hivi hawa watu wanaobadili muungurumo wa gari zao mathalani IST unaweza kukikuta kinatoa sound/muungurumo mkubwa kama zile za team teza ama team subaru huwa wanazifanyaje?
Je hivi inawezekana tukafanya ule muungurumo wa cruiserV8 kwenye Premio, Yaani premio ilie kama V8??
V8 kwa upande wangu huwa inanivutia sana ule muungurumo wake, wakati mwingine huwa nadhani muungurumo nao una nafasi yake ya kumfanya dereva azidi kuihisi gari yake pindi aendeshapo (mzuka).
Hizo vurugu za kubadilisha hizo exhaust zinafanyika wapi kwa hapa dar??
Nini madhara yake ikiwa muungurumo utabadilishwa!
Nawasilisha.
Kwani kupata mlio mkubwa ktk gari kinachofanyika ni kubana mfumo au kupanua mfumo wa mafla.kwanza ujue ule mlio huwa unafungwa vitu fulani "kifuani mwa engine" sio yale madude unayoyaona wanayafunga kwenye alteza na ist... Gari zenye ulio genuine ni SUBARU tu ambazi nying zinakuja zikiwa zimekuwa "tuned" ila alteza nying ukiona zina mlio huo ujue wamebadili muffler wenyewe wanaita kufung bunda.. ndio utaona mlio hauendani na speed ya gari.. mlio mkubwa ila accerelation ya kawaida... na ukumbuke kuwa kubadil muffler ama mfumo mzima wa exahaust bila kuwa na utaalam una hatarisha life spam ya engine yako.. maana kutoka kiwandan ilishawekwa gari ipumue kwa kiwango gani ss ukibana hewa ili upate mlio sio nzuri kwa gar.. unless umepata vifaa sahihi na "tuning" inafanyika tokea kwenye Engine
Upo sahihi kabisa.Mlio inategemea na ukubwa wa injini ya gari husika. Hivyo kabla hujafikiria kubadilisha mlio na kutaka ufanane na gari fulanj angalia kifua cha gari lako likoje. Huwezi kupata mlio wa v8 kilimo kwanza kwenye mkonge. Au mlio wa subaru kwenye vits.
Angalia hata bomba la moshi ya hayo magari utajua kwa nini yanapishana ukubwa.
Sasa hiyo gharama si angenunua gari lingineKuna mhindi pale dar ametumia sio chini ya usd 30,000 kwenye kui pimp hio WRX yake ya 2009 ,alii pimp hapo south africa.Ile gari muungurumo wake ni hatari afu ni very professional na Horse power yake ni 580.Acha kabisaa
Mkuu kufanyia tuning gari na mapping ni garama sanaaaa..Kuna mhindi pale dar ametumia sio chini ya usd 30,000 kwenye kui pimp hio WRX yake ya 2009 ,alii pimp hapo south africa.Ile gari muungurumo wake ni hatari afu ni very professional na Horse power yake ni 580.Acha kabisaa