Tufahamishane upatikanaji Wa Spare Parts za BMW

17m unapata E90 na change ya kuiweka sawa inabaki.....
 
17m unapata E90 na change ya kuiweka sawa inabaki.....
Nilikua nalicheki gari uliloniwekea link. CIF yake inazidi USD 4000 ambayo roughly ni Tsh Mil 10 na kidogo.

Pia naona lina shida power windows. Wamesema.

Calculator ya TRA itamdai Mil 7.

As attached;





Umenishawishi kaka. Ila tungefikia muafaka kwamba Mil 20 mimi ningesema ndio Minimum kupata E90 nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Befoward wanapunguza bei. Hio $4000 wanapunguza hata $500.
 
$4000=8.7m
8.7+7m=approx 16m
 
Mkuu mm nataka Audi A4 je ni aina gani ya kununua na vipuri nyake na mafundi wanapatikana Bongo??
 
Brother, hujui unachoandika, haya magari ya huyu mkoloni inaelekea huyajui. Ni kweli ni magari reliable sana. To be honest sio magari ya kumilikiwa na mtu mwenye pesa ya kubangaiza. Most of the spare parts zinapatikana lakini ni vizuri uwe na online access ya kununua ebay/amazon. Usinunue Alibaba, huko utapata takataka. Ukiweka spare unasahau kwa kipindi cha kutosha. Halafu service usipeleke kwa mafundi wa magari ya Japan, ningejua upo wapi ningekuelekeza. Narudia tena- usilipeleke kwa mafundi wa magari ya Japan. Wapo mafundi wa magari ya Ulaya.
Spare zake bei yake imesimama, ukitaka kulinunua jipange, even the performance of the lower versions is fantastic. avoid diesel engine car.
 
Mkuu mm nataka Audi A4 je ni aina gani ya kununua na vipuri nyake na mafundi wanapatikana Bongo??
Chukua Audi A4 B7 za mwaka 2004 hadi 2008. Machaguo mengi kuanzia 1.6L 1.8L hadi 2.0L na Turbo zipo.

Mkuu shape ya B7 za miaka hiyo tamu sana cheki sample hii. Usinunue za nyuma ya 2004 zimekaa kishamba hazina facelift flani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,X3 na X4 SUV inaweza kupatikana kwa Tsh ngapi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu me nitaongelea X3 ambayo imechukua chasis ya Sedan 3 series.

Me nitashauri uchukue BMW X3 E83 ya mwaka 2003 hadi 2010. Ina option ya 2.0L i4 ambayo ni very efficient.

Hiyo andaa Mil 25 hadi 30 itategemeana na condition.



Hii ndio E83 X3 kwa nje.



Na mfano cheki hizi Beforward nimeziona bei ya CIF inaenda USD5000 approximately.



Ukienda TRA wanakudai Mil 12. Hapa nimeassume la 2005 engine size 2.0 hadi 2.5L.



Bei mbaya sio ya kununua ila ya TRA mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure kaka ulichosema. Nime experience 318i duh. Inabidi uwe makini sana kwenye issue ya mafundi ata kama kubadirisha oil tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hunijui sikujui. Kwahio kusema sijui ninanchoandika sijui unamaanisha nini. Sina haja ya kujisema humu mimi ni nani kifupi those cars and their parts are my bread and butter. Unachekesha mimi ndio nafanya hayo magari ya Ulaya hapa mjini yanatembea.
Eti sijui ninachoandika? BWMs sijazijulia TZ tena sio level ya kuendesha,level ya juu zaidi.
 
Mkuu mm nataka Audi A4 je ni aina gani ya kununua na vipuri nyake na mafundi wanapatikana Bongo??
Spare zipo, ukinunua nitafute kwa ushauri zaidi. Nunua 2004- na kuendelea 2.0FSi ALT engine itakufaa maarufu kama 8E.
 
RRONDO naomba quotation ya ball joints complete LHS/RHS, shock ups front L/R 320 td diesel engine

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…