Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Nichambulie aina, engine, ulaji wa mafuta, bei yake hadi vipuri pamoja n service yake!.. Naomba!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nichambulie aina, engine, ulaji wa mafuta, bei yake hadi vipuri pamoja n service yake!.. Naomba!.
Boss bajeti hii sina cha kukushauri.10 million
Mafuta kawaida tu ila sio kama Vitz.Nichambulie aina, engine, ulaji wa mafuta, bei yake hadi vipuri pamoja n service yake!.. Naomba!.
Ubarikiwe!..Mafuta kawaida tu ila sio kama Vitz.
Oil filter 35,000
Air filter 65,000
Engine oil 5L 75,000
Bei used angalia mitandaoni zinatofautiana.
BMW chombo cha kizazi hata kizaziMafuta kawaida tu ila sio kama Vitz.
Oil filter 35,000
Air filter 65,000
Engine oil 5L 75,000
Bei used angalia mitandaoni zinatofautiana.
Kwa BMW mfano hawa Noble Motors Limited waliopo Julius K. Nyerere Rd, DSM, wanafanya kila kitu hadi diagnosis, service na watakusaidia kupata spare parts...
Acha uwoga nilipeleka MITSUBISHI Pajero pale Diamond Motors service kubwa 350,000 tu. Sio mafundi wenu chini ya Mwembe anagonga gonga tu.We Noble motors naona huwafahamu..kubadilisha oil kwa shilingi guzi wake vizuri akifanya utani atakuja hapa na thread ya matusi!
Peleka BM fu**ng W.......kafanye routine service alafu ndio uje kusemaAcha uwoga nilipeleka MITSUBISHI Pajero pale Diamond Motors service kubwa 350,000 tu. Sio mafundi wenu chini ya Mwembe anagonga gonga tu.
hii kitu iko kwa moyo, [emoji16]![]()
Engine N46 hiyo hapo juu.
![]()
Na sunroof kabisa umewekewa. Shindwa wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ipo siku ntakutafutaInategemea umenunua wapi na condition of the car (grade). Binafsi nilishaacha kununua kwa haya makampun kama sbt, beforward, trust, real motor, etc. Mm huwa nanunua gari moja kwa moja kutoka japanese auction house (huku ndiko ambako makampun yote haya yanayo import magar hapa Tanzania huwa wananunua magar kwa bei ya chin then wanatuuzia wa bei ya juu)....
Chief naomba hyo link kabisa nifanye registration maana nyumban kumenoga..mkuu ipo siku ntakutafuta
Kuna mtu kauza juzi kama hio ina namba A.... zama za watu kuogopa magari zimeisha unless uwe na 1990s mentality.
Hizo BMW zipo manual au zote ni automatic tu???
Take that beast...hutajuta...spare ziko kibao online kwa bei poa kabisaNatamani sana kumiliki BMW, Vipi upatikanaji Wa vipuri vyake kwa hapa Tanzania hasa Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana ulishawahi kumiliki BMW? Maana mzigo unavutia ila kitaa tunatishana Sana. Nilitaka kuchukua X3 nikabadili mawazo nahangaika Na Nissan PatrolTake that beast...hutajuta...spare ziko kibao online kwa bei poa kabisa
Jr[emoji769]
320i engine code N46 hii haili sana mafuta. Ila kama unataka heshima barabarani usisumbuliwe na wapenda ligi chukua 323i engine code N52!Nichambulie aina, engine, ulaji wa mafuta, bei yake hadi vipuri pamoja n service yake!.. Naomba!.