Tufahamishane upatikanaji Wa Spare Parts za BMW

Tufahamishane upatikanaji Wa Spare Parts za BMW

E90
BMW_3er_Limousine07.jpg
Nichambulie aina, engine, ulaji wa mafuta, bei yake hadi vipuri pamoja n service yake!.. Naomba!.
 
Nichambulie aina, engine, ulaji wa mafuta, bei yake hadi vipuri pamoja n service yake!.. Naomba!.
Mafuta kawaida tu ila sio kama Vitz.
Oil filter 35,000
Air filter 65,000
Engine oil 5L 75,000

Bei used angalia mitandaoni zinatofautiana.
 
BMW= Baba Mama Watoto/Generation to Generation
 
Kwa BMW mfano hawa Noble Motors Limited waliopo Julius K. Nyerere Rd, DSM, wanafanya kila kitu hadi diagnosis, service na watakusaidia kupata spare parts...

We Noble motors naona huwafahamu..kubadilisha oil kwa shilingi ngapiii? hahahaha.....afanye uchunguzi wake vizuri akifanya utani atakuja hapa na thread ya matusi!
 
We Noble motors naona huwafahamu..kubadilisha oil kwa shilingi guzi wake vizuri akifanya utani atakuja hapa na thread ya matusi!
Acha uwoga nilipeleka MITSUBISHI Pajero pale Diamond Motors service kubwa 350,000 tu. Sio mafundi wenu chini ya Mwembe anagonga gonga tu.
 
Acha uwoga nilipeleka MITSUBISHI Pajero pale Diamond Motors service kubwa 350,000 tu. Sio mafundi wenu chini ya Mwembe anagonga gonga tu.
Peleka BM fu**ng W.......kafanye routine service alafu ndio uje kusema
 
1998_honda_cr-v_4wd_ex-pic-2774884046370702926.jpg
1998_honda_cr-v_4wd_ex-pic-2774884046370702926.jpg
10 million

Kaa kwenye Honda CR-V 1998 Model hutojuta, very good car ni ngumu na inavumilia mikimi mikiki mingi sana, maintainance, fuel economy, spare parts,very affordable. One of the best I've ever driven, na hata masafa marefu unapiga vizuri tu

1998_honda_cr-v_4wd_ex-pic-2774884046370702926.jpg
 
Inategemea umenunua wapi na condition of the car (grade). Binafsi nilishaacha kununua kwa haya makampun kama sbt, beforward, trust, real motor, etc. Mm huwa nanunua gari moja kwa moja kutoka japanese auction house (huku ndiko ambako makampun yote haya yanayo import magar hapa Tanzania huwa wananunua magar kwa bei ya chin then wanatuuzia wa bei ya juu)....
Mkuu ipo siku ntakutafuta
 
Kuna mtu kauza juzi kama hio ina namba A.... zama za watu kuogopa magari zimeisha unless uwe na 1990s mentality.

Kaka za siku tele.....Nahitaji kununua hii gari
VOLKSWAGEN
Passat Variant 3CCAX.

Naomba juu hizi Sedan or SUV'S za VW.
 
Take that beast...hutajuta...spare ziko kibao online kwa bei poa kabisa

Jr[emoji769]
Mshana ulishawahi kumiliki BMW? Maana mzigo unavutia ila kitaa tunatishana Sana. Nilitaka kuchukua X3 nikabadili mawazo nahangaika Na Nissan Patrol
 
Nichambulie aina, engine, ulaji wa mafuta, bei yake hadi vipuri pamoja n service yake!.. Naomba!.
320i engine code N46 hii haili sana mafuta. Ila kama unataka heshima barabarani usisumbuliwe na wapenda ligi chukua 323i engine code N52!
 
Back
Top Bottom