Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,440 Sep 22, 2010 #1 wadau napenda kufahamishwa ni kampuni gani ita/ zita husiika ku supply, kuchapisha makaratasi ya kupigia kura.? Kampuni gani zimeshind ku supply maboksi na vifaa vingine vya uchaguzi. kampuni hizi zimeshinda tender kwa shilingi ngapi? Kuna kampuni za watanzania? Natanguliza shukrani
wadau napenda kufahamishwa ni kampuni gani ita/ zita husiika ku supply, kuchapisha makaratasi ya kupigia kura.? Kampuni gani zimeshind ku supply maboksi na vifaa vingine vya uchaguzi. kampuni hizi zimeshinda tender kwa shilingi ngapi? Kuna kampuni za watanzania? Natanguliza shukrani
DICTATOR JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 391 Reaction score 4 Sep 22, 2010 #2 Mtazamaji! safi sana. Ngoja tusubiri wenye data, wanaJF tupeane data ili tuone yawezekana ni Kinana na Meli zake
Mtazamaji! safi sana. Ngoja tusubiri wenye data, wanaJF tupeane data ili tuone yawezekana ni Kinana na Meli zake
W WAMURUBHERE JF-Expert Member Joined Apr 21, 2010 Posts 337 Reaction score 25 Sep 22, 2010 #3 eti kuvunja makundi
Enigma Senior Member Joined Feb 29, 2008 Posts 109 Reaction score 62 Sep 22, 2010 #4 Kalamazoo Secure Solutions Ltd Mill Lane Northfield Birmingham West Midlands B31 2NY Tel: 0121 256 2000 Kama upo, tafadhali sana tuwasiliane kwa PM. Asante.
Kalamazoo Secure Solutions Ltd Mill Lane Northfield Birmingham West Midlands B31 2NY Tel: 0121 256 2000 Kama upo, tafadhali sana tuwasiliane kwa PM. Asante.
Steve Dii JF-Expert Member Joined Jun 25, 2007 Posts 6,402 Reaction score 1,273 Sep 22, 2010 #5 Kamanda Enigma, hii si ndiyo ile kampuni iliyoshinda tenda ya kuchapisha karatasi za kupigia kura, au??!!
Kamanda Enigma, hii si ndiyo ile kampuni iliyoshinda tenda ya kuchapisha karatasi za kupigia kura, au??!!
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,160 Reaction score 9,151 Sep 22, 2010 #6 Nikimuona nzi ametua napata hisia kuna kajambo nyuma ya pazia
Steve Dii JF-Expert Member Joined Jun 25, 2007 Posts 6,402 Reaction score 1,273 Sep 22, 2010 #7 Ndahani said: Nikimuona nzi ametua napata hisia kuna kajambo nyuma ya pazia Click to expand... Itabidi nzi na watoto wake wajazane humo... lol
Ndahani said: Nikimuona nzi ametua napata hisia kuna kajambo nyuma ya pazia Click to expand... Itabidi nzi na watoto wake wajazane humo... lol