Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
wadau napenda kufahamishwa ni
Natanguliza shukrani
- kampuni gani ita/ zita husiika ku supply, kuchapisha makaratasi ya kupigia kura.?
- Kampuni gani zimeshind ku supply maboksi na vifaa vingine vya uchaguzi.
- kampuni hizi zimeshinda tender kwa shilingi ngapi?
- Kuna kampuni za watanzania?
Natanguliza shukrani