bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
TONGUE TIE/Ankyloglossia...ni hali anayozaliwa nayo mtoto ambapo kunakuwa na kinyama kidogo chini ya Ulimi kilichoshikana na Sakafu ya Mdomo(floor of the mouth)
Hali hii huathiri makuzi ya mtoto kwani husababisha mtoto kushindwa kunyonya vizuri na pia isipogundulika mapema mtoto hushindwa kuongea vizuri kwani ulimi huwa mzito
Ushauri ni vizuri Mama kumchunguza mtoto wako hasa kinywa ili kujua kama ana ili tatizo pia watoto wanapoenda clinic kupata sindano za chanjo/kupimwa kilo ni vizuri wahudumu wa Afya kuwachunguza watoto ili kuona kama Tongue tie.
Matibabu yake yapo FRENULOPLASTY hicho kinyama hukatwa na Ulimi wa mtoto utakua Free na mtoto ataenjoy kunyonya vizuri na makuzi yataenda vizuri...
Nawasilisha..
Asanteni na karibuni kwa michango zaidi