mkuu mm nina ajira yangu ya kudumu...tho usiamin kwamba unavyowaza ww ni sahihi! ni haitawezekana wote tukatokea njia uliotokea ww...mkaa unanilipa, nauza kuni, nafuga kuku wengi tu, nalima mashamba makubwa, vyote hivi vinanipa pesa...sasa kamandoo cjui wataka nifundisha nn
..........
MFANO : KUNA MKUTANO RWANDA UNAANZA MWEZI UJAO KAMA SIKOSEI NA UTAWAJUMUSIHA WAJASARIMALI WADOGO KUTOKA NCHI ZA ASI, AMERICA YA KUSINI,
ULAYA NA AFRICA, HII NI BONGE LA FURUSA, NA SIJUI NI WATANZANIA WANGAPI WATA ATENDI HIYO MEETING ...........
hakuna mahali nimesema na kufundisha, na sijakuuliza kama una kazi au ala, by the way kazi si kitu cha kujivunia hata siku moja, ni utumwa mkuu, mimi huwa naona aibu kuwaambia watu kwamba nina kazi make naonaga si sihu kabisa
umeorozesha vitu vingi sana mkuu, but si sustainable kabisa, na hilo ndo tatizo kubwa sana la watanzania wengi pamoja na mimi, tunafanya subsatnce activities, tukiamini ndo ishu, na ndo ujanja, mimi siamini katika hilo, na ni lazima tubadilike hata kama unauza mkaa na kuni basi iwe ni formal business na sio informal, ni muda tu mkuu systeam zitabadilika na tutakuja kujiraumu sana,
razima tuwe na biashara ambazo hata leo na kesho tukiwa vipofu au tukapata kilema cha maisha itaendelea kktutunza na itakuwepo daima na sio biashara ambazo tukigua au tukifariki ndo mwisho wa move,
mfano : Kuna mkutano rwanda unaanza mwezi ujao kama sikosei na utawajumusiha wajasarimali wadogo kutoka nchi za asi, america ya kusini, ulaya na africa, hii ni bonge la furusa, na sijui ni watanzania wangapi wata atendi hiyo meeting
na mwsiho kabisa mimi sikufundishi na sijawa mwalimu kwa sababu hapa sio shule, ila tunajaribu kelimishana mimi mwenyewe nachota maujuzi ya kutosha kutoka kwa magreat
ila take it from me mkuu the time is coming
Mkuu umeongea mengi ila hamna point hata moja ya kumsaidia mtu,sana sana unataka tufaham we ni mtu wa namna gani.hakuna mahali nimesema na kufundisha, na sijakuuliza kama una kazi au ala, by the way kazi si kitu cha kujivunia hata siku moja, ni utumwa mkuu, mimi huwa naona aibu kuwaambia watu kwamba nina kazi make naonaga si sihu kabisa
Umeorozesha vitu vingi sana mkuu, but si sustainable kabisa, na hilo ndo tatizo kubwa sana la watanzania wengi pamoja na mimi, tunafanya subsatnce activities, tukiamini ndo ishu, na ndo ujanja, Mimi siamini katika hilo, na ni lazima tubadilike hata kama unauza mkaa na kuni basi iwe ni formal Business na sio informal, Ni muda tu mkuu systeam zitabadilika na tutakuja kujiraumu sana,
Razima tuwe na Biashara ambazo hata leo na kesho tukiwa vipofu au tukapata kilema cha maisha itaendelea kktutunza na itakuwepo daima na sio Biashara ambazo tukigua au tukifariki ndo mwisho wa move,
MFANO : KUNA MKUTANO RWANDA UNAANZA MWEZI UJAO KAMA SIKOSEI NA UTAWAJUMUSIHA WAJASARIMALI WADOGO KUTOKA NCHI ZA ASI, AMERICA YA KUSINI, ULAYA NA AFRICA, HII NI BONGE LA FURUSA, NA SIJUI NI WATANZANIA WANGAPI WATA ATENDI HIYO MEETING
NA MWSIHO KABISA MIMI SIKUFUNDISHI NA SIJAWA MWALIMU KWA SABABU HAPA SIO SHULE, ILA TUNAJARIBU KELIMISHANA MIMI MWENYEWE NACHOTA MAUJUZI YA KUTOSHA KUTOKA KWA MAGREAT
Ila take it from me mkuu the time is coming
mkuu baadae nta ku PM tushauriane katika maswala ya ujasiriamalihakuna mahali nimesema na kufundisha, na sijakuuliza kama una kazi au ala, by the way kazi si kitu cha kujivunia hata siku moja, ni utumwa mkuu, mimi huwa naona aibu kuwaambia watu kwamba nina kazi make naonaga si sihu kabisa
Umeorozesha vitu vingi sana mkuu, but si sustainable kabisa, na hilo ndo tatizo kubwa sana la watanzania wengi pamoja na mimi, tunafanya subsatnce activities, tukiamini ndo ishu, na ndo ujanja, Mimi siamini katika hilo, na ni lazima tubadilike hata kama unauza mkaa na kuni basi iwe ni formal Business na sio informal, Ni muda tu mkuu systeam zitabadilika na tutakuja kujiraumu sana,
Razima tuwe na Biashara ambazo hata leo na kesho tukiwa vipofu au tukapata kilema cha maisha itaendelea kktutunza na itakuwepo daima na sio Biashara ambazo tukigua au tukifariki ndo mwisho wa move,
MFANO : KUNA MKUTANO RWANDA UNAANZA MWEZI UJAO KAMA SIKOSEI NA UTAWAJUMUSIHA WAJASARIMALI WADOGO KUTOKA NCHI ZA ASI, AMERICA YA KUSINI, ULAYA NA AFRICA, HII NI BONGE LA FURUSA, NA SIJUI NI WATANZANIA WANGAPI WATA ATENDI HIYO MEETING
NA MWSIHO KABISA MIMI SIKUFUNDISHI NA SIJAWA MWALIMU KWA SABABU HAPA SIO SHULE, ILA TUNAJARIBU KELIMISHANA MIMI MWENYEWE NACHOTA MAUJUZI YA KUTOSHA KUTOKA KWA MAGREAT
Ila take it from me mkuu the time is coming
mkuu umeongea mengi ila hamna point hata moja ya kumsaidia mtu,sana sana unataka tufaham we ni mtu wa namna gani.
Wiseboy ametoa idea yake na ipo wazi inaeleweka ila unaandika essay isiyo na miguu,heshimu mawazo ya watu maana wengine wanaweza kuyafanyia kazi na wakafaidika
HELLOW GUYS, MI NIPO MAFINGA...NINA GUNIA 300 ZA MKAA, NITAKUUZIA KWA 15000Tsh.. gunia lina ujazo wa debe saba, ww waweza uza kwa bei ya chini mfano elfu thelathini kwa dsm na ukapata milion 9...toa 4.5m za manunuzi na 1m ya kusafirisha, unaweza baki na 3m faida...so kama uko tayari ni pm nitakupa contact...mi nauza kwa sasa 7bu cjawa imara ktk kusafirisha hadi DSM
mkuu komandoo. Kusema ukweli, ni watu wachache sana ambao watakuelewa unachotaka kuwashauri. Ni kweli kabisa, sisi 'wajasiriamali' wa tz, 'we think and do small small buz'. Ukiangalia wafanyabiashara wengi wa tz wanakuwa ni watu wa 'hand to mouth', they dont think big. Biashara ya kuku wa nyama au mayai inalipa sana hapa tz, lakini nenda kwa wafugaji, utakuta ana kuku kama 1000-2000 wa nyama au mayai, afu anajiita mfugaji. Biashara zetu hatuzi 'reposition' kuwa sustainable, tumekuwa tunarukaruka tu. Lakini, time is coming, those who are doing small buz, watakwenda na maji, now its time to think big, and do buz in efficient and effective manner...
Mkuu Komandoo. Kusema ukweli, ni watu wachache sana ambao watakuelewa unachotaka kuwashauri. Ni kweli kabisa, sisi 'wajasiriamali' wa TZ, 'we think and do small small buz'. Ukiangalia wafanyabiashara wengi wa TZ wanakuwa ni watu wa 'hand to mouth', they dont think big. Biashara ya kuku wa nyama au mayai inalipa sana hapa TZ, lakini nenda kwa wafugaji, utakuta ana kuku kama 1000-2000 wa nyama au mayai, afu anajiita mfugaji. Biashara zetu hatuzi 'reposition' kuwa sustainable, tumekuwa tunarukaruka tu. Lakini, time is coming, those who are doing small buz, watakwenda na maji, now its time to think big, and do buz in efficient and effective manner...
ndo maana nimemwambia@komandoo asiwe mtu wa kutalk that talk ila awe mtu wa kufanya huyo mwanzilishi wa dell,au warren buffet wenyewe au mmiliki wa nike hawakuanza na biashara kubwa ila walianza na kidogo na kujiendeleza na sheria za ujasiliamali ukiweza kumanage kidogo ndivyo utakavyoweza kukuza kikubwa baadae...mimi aipendi mtu anashindwa kutuambia anafanya nn bali anachojua ni kulaumu tu...hata bakhresa mwenyewe alianza na kuuza kahawa ...look @ him now
na hapa KOMANDOO kajibu hivi...HELLOW GUYS, MI NIPO MAFINGA...NINA GUNIA 300 ZA MKAA, NITAKUUZIA KWA 15000Tsh.. gunia lina ujazo wa debe saba, ww waweza uza kwa bei ya chini mfano elfu thelathini kwa dsm na ukapata milion 9...toa 4.5m za manunuzi na 1m ya kusafirisha, unaweza baki na 3m faida...so kama uko tayari ni pm nitakupa contact...mi nauza kwa sasa 7bu cjawa imara ktk kusafirisha hadi DSM
Mkuu kama wakina Michael dell wange kuwa kama wewe leo hii wasingekuwepo, mkuu tuko katika Dunia ya Ushindani na biashara za uchuuzi ni kuachana nazo,
Hebu niambie katika mkaa ukinunua kuna kitu gani unaongeza ili kuupa thamani? je unauwekea petrol ili uwake sana? Mkuu tutaachwa nyuma sana na hizi biashara zetu za zima moto,
Ni vizuri kuuza mkaa, ila je unataka kuwa wapi siku moja na huo mkuu? ni sustainable? au ni biashara za mwezi mmoja?
Mkuu wiseboy kauliza hivi
na hapa KOMANDOO kajibu hivi...
Swali je hata kama KOMANDOO anania ya kumsaidia wiseboy majibu aliyompa yanaendena na matakwa ya muuliza swali? sasa mkaa na Dell wapi na wapi, mara zima moto, mara........kama kejeli fulani hivi
Unaruhusiwa kumshauri mtu sawa lakini sasa hapa kinachogomba ni namna ya kumshauri huyo mtu
Wakati mwingine hizi theory za darasani zilzotungwa na akina Simth hazi apply sana huku mtaani jamani kuanzia mifumo yetu na mazingira na vipato vyetu