Mkuu Komandoo. Kusema ukweli, ni watu wachache sana ambao watakuelewa unachotaka kuwashauri. Ni kweli kabisa, sisi 'wajasiriamali' wa TZ, 'we think and do small small buz'. Ukiangalia wafanyabiashara wengi wa TZ wanakuwa ni watu wa 'hand to mouth', they dont think big. Biashara ya kuku wa nyama au mayai inalipa sana hapa TZ, lakini nenda kwa wafugaji, utakuta ana kuku kama 1000-2000 wa nyama au mayai, afu anajiita mfugaji. Biashara zetu hatuzi 'reposition' kuwa sustainable, tumekuwa tunarukaruka tu. Lakini, time is coming, those who are doing small buz, watakwenda na maji, now its time to think big, and do buz in efficient and effective manner...
Ni kweli mimi nikitoa Ushauri hapa watu hawapendi, kabisa, Tukumbuke huu wakati tukionao sio wa miaka ya Nyuma, kuna wawekezaji wanazidi kumiminika kutoka China, India, Ulaya, kenya na south africa, wanakuja kushindana na sisi, sasa sijui kama tutaweza kufurukuta,
1. Chukulia mfano wa Maduka- Mtu unkuta ana duka la rejareja miaka zaidi ya kumi hakuna mapinduzi yoyote yale, biashara hijagradutae from ndogo kwenda ya kati na hatimaye kubwa,
2. Chukulia mfano wewe una fuso lako moja au scania mbili- Huwezi kupumua zikija kampuni kubwa na kuwekeza kwenye Transport
Unacho sema ni kweli, tutashindwa Biashara tusipo kuwa siriasi it si tge matter of Time
MFANO- SOOTH AFRICA WANAUZA MAYAI, viazi, Machungwa, Nyama, Kuku na kazailika Tanzania- Na ukiwauliza hata Mabosi wa shoprite watakuambia wao hawajakataa biadhaa za watanzania ila wanacho anagalia ni ubora, na si kitu kingine kile,
Mfano-
1. Nyama- Hakuna mtanzania mwenye mawazo ya kuwa ana process nyama freshi na kupark wote tunawaza kuuza ngombe visiwa vya shelisheli
2. Mayai- Tembelea shoprite uone mayai ya south africa yalivyo pakiwa vizuri na yanavutia kwa kuyatazama tu, hilo kwa sisi tunaona si ishu, ubishi mwingi sana,
3, Angalia Machunwa na matunda yao- Yamepakiwa kwa utalaamu na yanavutia sana- Cheki machungwa ya Muheza Tanga, huwezi beba yale machungwa kama yalivyo na kuyapeleka Dukani,
4. Angalia Nyama ya kuku wa south africa- Unakuta wamepaki kwa viwango tofauti na napenda sana ile packeging yao, unaweza kuta mapaja ya kuku kama sita yamepakiwa kivyao, Njoo kwa watanzania, hatuna ubunifu kabisa tunabakia kulia lia tu,