Hujanipata kabisa, Mimi najaribu kueleza ukweli mkuu, Unapo Ingia kwenye Biashara kwa sasa Targeti kufika mbali sana,
Leo hii sisi tunabadili biashara kila kukicha na hii ni kwa sababu ya kufuata mkumbo, Tunafanya biashara za kufuata mkumbo tu, Leo hii mtu anakurupuka kufuga kuku kisa tu trei moja ni sh 6000 yaani yeye ameamua kufuga kuku kwa sababu kuku wanalipa, mtu anaamua kulima mahindi kwa sbabu inalipa, mkuu kwa staili hii hatutafika mbali,
Chukulia mfano wa Mkampuni ya Watanzania yakujenga Barabara- Hawa walijua Tanzania ni yao na wakaendela kufanya biashara ki primitive cheki sasa WACHINA WANAVYO SHIKA TENDA, watanzania walikuwa wanapata tenda badala waendelee kuimarisha kampuni zao wanakimbila kufanya vitu vya ajabu,
Kuna mzee mmoja alikuwa na kampuni yake ya UJENZI ana alikuwa akipata Tenda kwa enzi hizo lakini, ila cha ajabu pesa utakuta kanunua Haice, mara kajenga baa, mara gest, na leo hii kampuni yake ya ujenzi haipo tena na hivyo vyote havipo,
Na makampuni mengi ya WABONGO YA UKANDARASI YATAKUFA MAKE HAYATAWEZA KUSHINDANA NA WACHINA NA WAHINDI HATA SIKU MOJA, NA NDO TUKIHUBIRI KUUNGANISHA NGUVU WATU WANATUONA WA AJABU
So mkuu kwa sasa unapoingia kwenye Biashara targeti mbali na usitageti kutafuta Utajiri na hii ndo Ttaizo kubwa kuliko lote kwa WATANZANIA WENGI SANA, LEO HII UKIULIZA KILA MTU KWA NINI ANATAKA KUFANYA BIASHARA LABUDA YA NYUMBA ZA KUPANGISHA ATAKUAMBIA ZINALIPA, KILA MTU UTASIKIA KITU FULANI KINALIPA, KUKU WA NYAMAMA WANALIPA, MAYAI YANALIPA,
Ok vinalipa but how about tomorow? MAKANDARASI WA KITANZANIA WALIKUWA WANAAMINI BIASHARA ZA UKANDARASI ZINALIPA SANA, ILA WAMEKUJA WACHINA NA WAMETEKA SOKO NA WANAZIDI KUMIMINIKA TANZANIA,
Kosa kubwa walilofanya Makampuni ya Kitanzania, hawakujipanga kwa baadae, na sisi ndo hivyo hivyo tutakuwa kama Makampuni ya Ujenzi wa Barabara na Nyumba,
Mkuu kama ninavyo ongea ni Ijinga viache lakini haya maneno yangu utakuja kuyakumbuka siku moja si leo wala kesho wala kesho kutwa ila ipo siku
NB: Uliniuliza nafanya nini. Mimi nina consultance firm yangu A town